Prof. Janabi: Kitu hatari zaidi ni sukari na wanga. Ataka watu kula wakihisi njaa kwani mwili hauendeshwi na ratiba ya chakula



maelezo mazuri.
 
Wabongo kwa ujuaji🫡🫡 .
Kwahiyo mtu mpaka amekuwa profesa ina maana hajui tofauti ya wanga na sukari.
We nawe rubish kabisa, maprofesa wako ndio hao hao wanaotoa maboko kila siku....?, wanaomuita binadamu Mheshimiwa Mungu? Ona walipotufikisha..

Nyie ndio mkiambiwa mtu ni professor mnaamini anajua kila kitu, akija kijijini mnamuoshea barabara.
 
Prof naye ana upuuzi mwingi. Kusoma sana si kuwa na uelewa. Kula kuna ratiba zake na mwili unataka kula.
Mwisho wa siku kufa kupo tu, and it is only once in life time and for all, haijalishi ulikulaje. Nijitese niwe na shingo kama ya huyo Janabi... ya nini!!?

Mm nakula hadi kitambi kinatoka, ila likizo huwa naenda kijijini na kufanya kazi shambani hadi mwili unakaa sawa.

Ngoja nishushie huu uzi kwa mirinda ya buku..
 
Semenya wa ukaldayo kumbe huko deep sana mgerasi wangu. Umeshusha Nondo kali maamae na madini yaliyojitosheleza.
 
Huyu jamaa very ni Cheap ....ushauri wangu wana JF someni wenyewe mambo haya kuliko kumsikiliza huyu mjanja mjanja otherwise mtaumia.
 
famchezo nini,?
 
Kama unakumbuka pavlova conditioning theory kwa 70% utakua mualimu wa degree mkuu, unafundisha wapi au umesha acha ualimu kama mpyayungu Village
Ina maana wewe form three hukusoma condintioned reflex action? Kwenye Bios na mfano wanaotumia ni wa huyo Big Ivan Pavlov?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…