Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Mwili unatumia nguvu nyingi kusaga chakula ulichokula, ukimaliza Kula hata mzunguko wako wa damu kwa sehemu kubwa unahamia tumboni, walimu wenye akili huwa hawapendi kufundisha wanafunzi baada ya mlo WA mchana kwasababu wanafunzi wengi wanakuwa wanalala. (Upo uwezekano Wassira anakuwa emeshiba muda mwingi lol!)Hoja yake Haina mashiko kwa Hawa Watu:-
-makuli relini
-waponda kokoto
-mafundi ujenzi
-masaidia fundi
-wachimba vifusi
-wapakia cement viwandani
-mafundi kupaua
-wachana magogo na mbao
-wacheza mpira
Nguvu ya mwili kucheza Moira, kupiga kokoto na kazi ngumu haitoki tumboni...inatoka kwenye akiba uliyotunza kwenye ini, misuli, mafuta ya mwilini na si vinginevyo.