Na ukiwa hauna hela unahisi kama watu wana matumizi mabayaPesa mwanaharamu, ukiwa nayo huwezi tambua kuna mwingine hana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukiwa hauna hela unahisi kama watu wana matumizi mabayaPesa mwanaharamu, ukiwa nayo huwezi tambua kuna mwingine hana.
www.medicalnewstoday.com
Semaji kwenye moja na mbili 😂Kweli majobless Tumepata mteteziiiii
Maana tunakula mlo mmoja japo hatupendiii
Lakini Kuna faida gani, kuishi maisha marefu ukiwa jobless?
Eh mola! Tuonyeshe fadhili Zako
Amerudi kutukumbusha tena“Wale watu wanaokula mara nyingi, wanaokula mara kwa mara wanakuwa hawana muda wa kuunguza mafuta. Wanaofunga muda mrefu wanakuwa na muda mrefu pia wa kuunguza mafuta ya Mwili. Kuna magonjwa mengi yanayosababishwa na ulaji wetu wa mara kwa mara. Ukitaka kinga ya mwili iwe juu na kurefusha maisha, si kurefusha tu maisha bali maisha yenye quality (Ubora), kula mlo mmoja. Ni ngumu kuvumilia lakini mwili siku zote una tabia ya kuzoea. Si lazima ule mlo mmoja kila siku, unaweza kubadili ukala mara mbili au tatu kwa wiki, siku zingine ukala mara mbili”
Nukuu ya Pro. Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Mshauri wa Rais kuhusu Masuala ya Afya akizungumza kupitia Afya Podcast ya Muhimbili TV, Septemba 4, 2023
Kila kitu kwa kiasi wandugu. Kuleni kwa kiasi. Nilijaaliwa kumuona Janabi kwa karibu sana, ukweli ni kwamba yuko weak, sikuona nuru kwenye ngozi yake... SIMSIMANGI ila anahitaji kuongeza mlo kidogo. Siku hiyo alishindia kikombe cha kahawa nyeusi bila sukari. nilikuwa namwangalia sana... nilimhurumia. Hatuishi milele hapa... tule tufurahi kwa KIASIha
HahahaKila kitu kwa kiasi wandugu. Kuleni kwa kiasi. Nilijaaliwa kumuona Janabi kwa karibu sana, ukweli ni kwamba yuko weak, sikuona nuru kwenye ngozi yake... SIMSIMANGI ila anahitaji kuongeza mlo kidogo. Siku hiyo alishindia kikombe cha kahawa nyeusi bila sukari. nilikuwa namwangalia sana... nilimhurumia. Hatuishi milele hapa... tule tufurahi kwa KIASI
Wala hauli sana mkuu..Lakini nakula sana siongezek tatizo ni nn ?
Nakula lishe nzuri tuu, Cha ajabu siongezek kilo plus uzito mdogo!
Unaichukulia poa porno eti,wakat unaambiwa mshindo mmoja ni kama kukimbia miles za kutosha tabata to kariakoo
ukifuata ushauri wa Huyu Dokta, na stress hizi za maisha hutoboi. kila kitu kina kiasi , na wakati maalum, kula sukari kiasi, mafuta kiasi, juice kiasi, matunda kiasi, mboga kiasi , na muhimu zaidi kula chakula kwa wastani usile kwa kuvimbiwa mpaka ukawa huwezi kuinuka au kupumuaKila kitu kwa kiasi wandugu. Kuleni kwa kiasi. Nilijaaliwa kumuona Janabi kwa karibu sana, ukweli ni kwamba yuko weak, sikuona nuru kwenye ngozi yake... SIMSIMANGI ila anahitaji kuongeza mlo kidogo. Siku hiyo alishindia kikombe cha kahawa nyeusi bila sukari. nilikuwa namwangalia sana... nilimhurumia. Hatuishi milele hapa... tule tufurahi kwa KIASI
Kg.... ni 53kgWala hauli sana mkuu..
Nipe kg zako.
Nipe na urefu wako.
Nipe na umri wako(hata range tu)
Unaweza kusema unakula sana ila kumbe unajiona unakula sana kwa mujibu wewe na sio kwa mujibu wa mwili wako.....
Hata mimi nikimcheki muonekano wake sidhani kama ile ndio definition ya afya,kuna vitu vingine tunaingizwa chaka huwezi ukawa na afya kwa kushinda na njaa kwa masaa mengi sasa virutubisho mbalimbali vya kwenye vyakula utavipataje kama mtu siku nzima anashindia kahawaKila kitu kwa kiasi wandugu. Kuleni kwa kiasi. Nilijaaliwa kumuona Janabi kwa karibu sana, ukweli ni kwamba yuko weak, sikuona nuru kwenye ngozi yake... SIMSIMANGI ila anahitaji kuongeza mlo kidogo. Siku hiyo alishindia kikombe cha kahawa nyeusi bila sukari. nilikuwa namwangalia sana... nilimhurumia. Hatuishi milele hapa... tule tufurahi kwa KIASI
Wewe ni mwembamba saana,hauna mafuta mengi mwilini,na nina hakika hauna kitambi.....Kg.... ni 53kg
Umri 26yrs
Urefu kipimo exactly sijapima, lakini kwenye urefu nazidi.. Kidogo urefu wa wastani,
Ok mkuu shukrani aseeh.... Upo positive sana !!Wewe ni mwembamba saana,hauna mafuta mengi mwilini,na nina hakika hauna kitambi.....
Kwa maana hiyo inabidi ukumbuke kwamba lengo la kula mara chache ni kuchoma mafuta yaliyozidi mwilini,na wewe hayo mafuta yaliyozidi mwilini hauna.
Kwa sababu kuna maelezo yanasema kwamba masaa 17 bila kula inapelekea mwili kuanza kuchoma mafuta ya mwilini ili mwili huo upate nguvu,sasa wewe hayo mafuta hauna,hivyo bila shaka wewe kufunga muda mrefu sio sawa.
mimi nakushauri usifanye water fast zaidi ya 24hrs,yaani wewe ni vyema ukafunga ndani ya siku moja then unakula,utapata faida za kiafya pia.
kwa sababu kadri unavyokuwa na mafuta machache basi ndio ketosis na autophagy hutokea mapema.
hivyo fanya kwa afya tu mkuu,sio kila mmoja ataweza kukaa siku nyingi..
Wewe tayari mwili wako hauna mafuta mengi hivyo kumbuka moja ya lengo la kufunga(fasting)ni kupunguza mafuta