Prof. Jay, AY & Chid Benz vs Fid Q, Mwana FA & Joh Makini vs Ngwair, Langa & King Zillah, Utasikiliza kundi gani hapo?

Prof. Jay, AY & Chid Benz vs Fid Q, Mwana FA & Joh Makini vs Ngwair, Langa & King Zillah, Utasikiliza kundi gani hapo?

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1701691540408.jpeg

Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za

1. Prof. Jay, AY & Chid Benz
2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini
3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
 
2

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Moya namba moya hapo kuna professor anakuambia nikuadiaje? Kisha akatuuliza tukamjibu ndiyoo mzeee ghafla alipomuona mtoto mkali akaona zali la menthali,.

Ghafla tukasikia ilaaaaaaalaaaaa, Kiiiing koooooong uzito wa mdundo wa hindi tangu enzi za pancho ,mashuhuri toka mtoto toka studio joto sahau kuhusu aaac.,tukaulizana nani huyu ndipo sauti ikapaaza ni chidy chidy chidy wamekaa😂😂😂😂 .

Tulipoona mbona yamekua haya tukasikia mdundo kwa jirani your my African queen never seen before tuuu tuuu tuuuu give me so more ...
MAJIBU MSHAPATA
 
Playlist heavy sana hizi. Japo naweza kusindikizia na za mkali mmoja kutoka pande za iringa anaitwa geezy mabovu rip
 
Joh makini anaimba tarabu,

Namba 3 ndo playlist ila fid aongezeke hapo kwenye namba tatu
 
Ay ana jimbo lake moja linaitwa usijaribu, linatisha hilo dude. Bnafs kundi namba moja.
Nb. prof jay ndo msanii wangu pendwa wa mda wote kwa hapa tz, akifuatiwa na Ngwair, fidq, langa, Ay, Chidbenz

Sent from my BKK-LX2 using JamiiForums mobile app
 
1 ni moto ila wangekaa profjay fidq na ngwair ingekua ni moto mkali
 
Moya namba moya hapo kuna professor anakuambia nikuadiaje? Kisha akatuuliza tukamjibu ndiyoo mzeee ghafla alipomuona mtoto mkali akaona zali la menthali,.

Ghafla tukasikia ilaaaaaaalaaaaa, Kiiiing koooooong uzito wa mdundo wa hindi tangu enzi za pancho ,mashuhuri toka mtoto toka studio joto sahau kuhusu aaac.,tukaulizana nani huyu ndipo sauti ikapaaza ni chidy chidy chidy wamekaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .

Tulipoona mbona yamekua haya tukasikia mdundo kwa jirani your my African queen never seen before tuuu tuuu tuuuu give me so more ...
MAJIBU MSHAPATA
Hahahaha umetisha hasa hapo kwa king n queen ya yesaya
 
Back
Top Bottom