Prof Jay: Ferooz akiwa wa moto sana alikuwa hagusiki yaani uvimbaji kama wote

Prof Jay: Ferooz akiwa wa moto sana alikuwa hagusiki yaani uvimbaji kama wote

Bahati??

Bahati... Ni kitu kinachochukua si Zaidi ya asilimia Moja kwenye maisha yetu. Maisha yetu yanaenda jinsi tulivyoyapanga na na juhudi zëtu huamua mafanikio yetu. Bahati ipo kila sehemu ila inachukua nafasi ndogo Sana. Diamond useme ni bahati Kuwa juu jibu ni hapana.
Kumbuka ni mengi amepitia hadi baadhi ya vyombo vilikuwa havipig nyimbo zake. Dogo ni hustler na fighter ndo kinachomuweka juu siku zotë si bahati
Na kingine kinachofanya azidi kupaa zaidi ni kwamba haridhiki na kubweteka kama wafanyavyo wengine,yeye bado anazidi kuumiza kichwa na kubuni zaidi.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuchomoka hapo ni kazi sana.
Halafu hawa viumbe huwa wananusa hela hata usipotangaza wanajua na kuanza kujisogeza kwako makusudi.
Ni kazi kwako, tupo marijali pia ambao hatuendeshwi hovyo na nyege kama wewe. Sasa mwanamke anapojisogeza kwako kwani ni lazima apate anachokitaka? Utatoa kwa wangapi sasa?
 
Mimi nikibahatika kupata hela nyingi kwa ghafla nitazini balaa. Tandaza miti kama sina akili nzuri kwaanzia vibinti legal age 18+ kuendelea huko. Labda ndo maana sirgodi ameniwekea limit. Yani anifanye dollar millionaire. God forbid
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walikuwa wanaiga maisha ya kimarekan waliyokiwa wanayaona kwenye movie
Hii imepoteza wengi sio wanamuziki tu, vijana wengi imetucost. Growing in the 90s music videos and movies were the major influence. Siku hizi mitandao ndio inapoteza kizazi hiki nao wata regret kivyao time ikifika
 
Hii hali huwakuta wengi walio kwenye huo mfumo wa kupata pesa kwa mkupuo...hii ipo hata huko mbele, wanazuzuka sema wengi wanaokolewa na management kama zipo imara.

Nilimsikia Jack Chan kwenye interview anasema alilipwa pesa nyingi kwenye movie akachanganyikiwa akawa ananunua kila kitu hovyo..anasema akikumbuka huo wakati anajiona mjinga wa mwisho.

Sema tu pesa ikawa inaendelea kuingia mpaka ikamkuta anakomaa akili.
Mwanadamu huwa na akili na mipango mingi pindi anapokuwa na njaa,shida na ufukara...pindi ukizipata akili hukaa pembeni isipokuwa kwa wachache tu.
 
Back
Top Bottom