Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena bia yenyewe safari. Dah jamaa anaomba bia yule na ukimnunulia nyingine anasema hatalewa hivyo yeye ni mwendo wa nondo tuMziki tatizo ni kuchuja
Sasa leo hii nice aje aimbe
Kuku kapanda baiskeli
Watu watamuelewa kweli
Sasa leo hii nice mtu wa kunywa bia bar na kugoma kulipa au kukimbia bill
Ova
Daaaaaaa.....ata mm nisingechomoka.tusiwalaum sana kina mr niceView attachment 2271678
Daah kweli siwezi mlaumu mr nicetusiwalaum sana kina mr niceView attachment 2271678
Ila majani aliua ile chorus.Alimkatalia hadi Madee kufanya chorus ya yote maisha hata baada ya kuitwa na boss wake Majani lakini bado hakutokea mpaka ikambidi majani afanye chorus mwenyewe
Hahahahaha daaah ferooz mzee wa jeep Cherokee daaahIlikua kama miaka kadhaa nyuma aliazima akafanyie video. Ni kipindi hiki alichokua ameshapotea. Kuna video fulani alifanya na mdada kama ya mnanda sijui ndo chiriku. Kenge maji. Alikua anaringa sana. Tulimkata mitama
HahahahajMoral of the story kwa wanaume wote
Sana hata ferouz asingefanya alichofanya majani mleIla majani aliua ile chorus.
Nice nisham save vipondo kupewa kama 4 hivi masai,garden breeze magomeni,bar moja kino,Kwa ishu ya mziki kweli kabisa
Nmdai 20k mpk leo [emoji1]Tena bia yenyewe safari. Dah jamaa anaomba bia yule na ukimnunulia nyingine anasema hatalewa hivyo yeye ni mwendo wa nondo tu
Hela ya mziki ni kama ya urithi ikipita ukachuja ndo basi tena wakati ukutaNice nisham save vipondo kupewa kama 4 hivi masai,garden breeze magomeni,bar moja kino,
Huyu alikulia mtaa Togo kino
Longtime haja hit nlimkopeshaga 20000 aliomba nauli aende zenji
Nkampa na sim aina ya sagem
Hiyo hela hkunilipa tenaaa
Alipokuwa star ndy kila tukigongana namdai napigwa kalenda tu
Wakati fulani nkakutana naye bar kimara korogwe kanywa bia na kitimoto akaondk bila kulipa [emoji1]
Jamaa alishindwa tumia nafasi vzr
Ova
mrangi ungechomoa kweli hapa?tusiwalaum sana kina mr niceView attachment 2271678
Mbona alisema ana endless cash.?Kweli anaomba sn bia mpk kero
Kwanini?Daaaaaaa.....ata mm nisingechomoka.
msanii kufanikiwa haimaanishi apendwe na kila mtu.ukimpenda wewe inatosha kaka.Hapo ndo ujue kumtofautisha Nasib na wengine, platform aloikuta ilikuwa ni ileile, Mr Nice kafatana na akina Blue, Kiba, Top Band na wengine wote then ndo akaingia Nasib, juhudi binafsi, kujishusha, nidhamu ya kazi na pesa kumemfanya alete transformation kubwa kwenye game.
Hao wote msompenda na kuwasifia leo hii hakuna kipya wanachokifanya isipokuwa wanafanya kuegeza kwa Nasib ili tu wazungumzwe na mpaka wanashtuka na kuanza kufanya wanajikuta mwenzao aliyafanya hayo miaka 5, 6 ilopita (kitu ambacho ni kizuri), wanayafanya hayo huku WAKUSAIDIWA NA HUJUMA KUBWA ANAYOFANYIWA DIAMOND, ukitoa Wasafi FM, hakuna radio station ilikuwa inapiga song za Diamond, RFA usiku kucha walikuwa wakipiga nyimbo za Harmonize na Ali Kiba hata 20 hadi wiki mbili tatu majuzi ndo utasikia angalau song moja ya Diamond, hii haifanyiki kwa bahati mbaya vivyo hivyo kwa sehemu za starehe, (mambo haya sio sawa), sababu za kupambana kumshusha wanazijua wenye nguvu na asipokuwa makini watafanikiwa.
Aliwahi kulipwa mil.33 na TACAIDS zikaisha ndani ya wiki akijua zitakuja tena.Huyo ferooz sijui anaimba nini siku hizi mara japenga mara sijui nini khah
Yani unaacha kuuza kwa sababu mteja hajakusalimia?? nyie ni kabila gani??2003 huyo mtoto Feruz (miaka ile kuonana uso kwa macho na msanii hata wale wa mchiriku ilikuwa bonge moja la sifa) akiwa na Jeep yake dark blue akaja dukani kwa bro wangu Ilala wezi walikuwa wamempiga side mirror yake so akawa anatafuta.
Tulikuwa tumekaa nje kwenye bench kama watu saba hivi alipofika aka-park gari mbele yetu akashusha kioo nusu bila hata salamu akamtaka mwenye duka hakuna aliyemjibu na tulikuwa tunamkubali sana akamshusha mpambe wake mmoja akaulize moja kwa moja pale dukani bro akamrusha mshkaji amwambie “hatuuzi” ila alikuwa na akili mwisho akajua kosa lake akajirudi.
Siku zote hela zinapokuwa nyingi hasa kwa vijana wakikosa management nzuri hushindwa kuzi-control mwisho ndo kama hivi