Prof Jay: Ferooz akiwa wa moto sana alikuwa hagusiki yaani uvimbaji kama wote

Prof Jay: Ferooz akiwa wa moto sana alikuwa hagusiki yaani uvimbaji kama wote

Mziki tatizo ni kuchuja
Sasa leo hii nice aje aimbe
Kuku kapanda baiskeli
Watu watamuelewa kweli

Sasa leo hii nice mtu wa kunywa bia bar na kugoma kulipa au kukimbia bill

Ova
Tena bia yenyewe safari. Dah jamaa anaomba bia yule na ukimnunulia nyingine anasema hatalewa hivyo yeye ni mwendo wa nondo tu
 
Ilikua kama miaka kadhaa nyuma aliazima akafanyie video. Ni kipindi hiki alichokua ameshapotea. Kuna video fulani alifanya na mdada kama ya mnanda sijui ndo chiriku. Kenge maji. Alikua anaringa sana. Tulimkata mitama
Hahahahaha daaah ferooz mzee wa jeep Cherokee daaah
 
Kwa ishu ya mziki kweli kabisa
Nice nisham save vipondo kupewa kama 4 hivi masai,garden breeze magomeni,bar moja kino,
Huyu alikulia mtaa Togo kino
Longtime haja hit nlimkopeshaga 20000 aliomba nauli aende zenji
Nkampa na sim aina ya sagem
Hiyo hela hkunilipa tenaaa
Alipokuwa star ndy kila tukigongana namdai napigwa kalenda tu
Wakati fulani nkakutana naye bar kimara korogwe kanywa bia na kitimoto akaondk bila kulipa [emoji1]
Jamaa alishindwa tumia nafasi vzr

Ova
 
Nice nisham save vipondo kupewa kama 4 hivi masai,garden breeze magomeni,bar moja kino,
Huyu alikulia mtaa Togo kino
Longtime haja hit nlimkopeshaga 20000 aliomba nauli aende zenji
Nkampa na sim aina ya sagem
Hiyo hela hkunilipa tenaaa
Alipokuwa star ndy kila tukigongana namdai napigwa kalenda tu
Wakati fulani nkakutana naye bar kimara korogwe kanywa bia na kitimoto akaondk bila kulipa [emoji1]
Jamaa alishindwa tumia nafasi vzr

Ova
Hela ya mziki ni kama ya urithi ikipita ukachuja ndo basi tena wakati ukuta
 
Hapo ndo ujue kumtofautisha Nasib na wengine, platform aloikuta ilikuwa ni ileile, Mr Nice kafatana na akina Blue, Kiba, Top Band na wengine wote then ndo akaingia Nasib, juhudi binafsi, kujishusha, nidhamu ya kazi na pesa kumemfanya alete transformation kubwa kwenye game.

Hao wote msompenda na kuwasifia leo hii hakuna kipya wanachokifanya isipokuwa wanafanya kuegeza kwa Nasib ili tu wazungumzwe na mpaka wanashtuka na kuanza kufanya wanajikuta mwenzao aliyafanya hayo miaka 5, 6 ilopita (kitu ambacho ni kizuri), wanayafanya hayo huku WAKUSAIDIWA NA HUJUMA KUBWA ANAYOFANYIWA DIAMOND, ukitoa Wasafi FM, hakuna radio station ilikuwa inapiga song za Diamond, RFA usiku kucha walikuwa wakipiga nyimbo za Harmonize na Ali Kiba hata 20 hadi wiki mbili tatu majuzi ndo utasikia angalau song moja ya Diamond, hii haifanyiki kwa bahati mbaya vivyo hivyo kwa sehemu za starehe, (mambo haya sio sawa), sababu za kupambana kumshusha wanazijua wenye nguvu na asipokuwa makini watafanikiwa.
msanii kufanikiwa haimaanishi apendwe na kila mtu.ukimpenda wewe inatosha kaka.
alichofanya mond sio cha kwanza tz au duniani mpaka useme kila mtu anamwiga yeye,kiba kaoa,mond kaoa lini kwa ndoa???
katika maisha kuna juhudi halafu kuna bahati,ukiwa mpumbavu utameona mond ni mtu mwenye akili sana kumbe ana bahati.mwaka wa 12 yuko peak kwenye game huwezi sema ni juhudi au akili mingi.
hakuna asiyependa kuwika muda wote,ila unafanya nini ili iwe hivyo hiyo ni bahati kijana.
 
2003 huyo mtoto Feruz (miaka ile kuonana uso kwa macho na msanii hata wale wa mchiriku ilikuwa bonge moja la sifa) akiwa na Jeep yake dark blue akaja dukani kwa bro wangu Ilala wezi walikuwa wamempiga side mirror yake so akawa anatafuta.

Tulikuwa tumekaa nje kwenye bench kama watu saba hivi alipofika aka-park gari mbele yetu akashusha kioo nusu bila hata salamu akamtaka mwenye duka hakuna aliyemjibu na tulikuwa tunamkubali sana akamshusha mpambe wake mmoja akaulize moja kwa moja pale dukani bro akamrusha mshkaji amwambie “hatuuzi” ila alikuwa na akili mwisho akajua kosa lake akajirudi.

Siku zote hela zinapokuwa nyingi hasa kwa vijana wakikosa management nzuri hushindwa kuzi-control mwisho ndo kama hivi
Yani unaacha kuuza kwa sababu mteja hajakusalimia?? nyie ni kabila gani??
 
Back
Top Bottom