Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Pesa haitaki maneno ya nitawakomesha watanijua mzee focus kwenye mipango yako. Mond ana focus kwenye malengo na mipango yakeDiamond alikuwa na mentality akizipata atapitia mastaa wengi
Akapata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa haitaki maneno ya nitawakomesha watanijua mzee focus kwenye mipango yako. Mond ana focus kwenye malengo na mipango yakeDiamond alikuwa na mentality akizipata atapitia mastaa wengi
Akapata
Hakika. Au azitumbue wee afu zikatike abaki fukara wa mali na majutoNa aikipata ajue kifo kinakaribia [emoji848]
Na hela kubwa hutaipata. Hao wanao tandaza miti haswaa ukute ni maagizo ya hela zao. Na wengine ndio mwisho huwa mbaya. Km kina Mr NiceMbona wengi wenye mentality kama yangu walĺikamata, wamekamata na watakamata hela ndefu tu. Sasa hela bila ngono inafaida gani si ufe tu. Raha ya hela nikutandaza miti at will. Twenty four hours of massive and aggressive fakin.
Sio haiheshimiki bali haiumi yani, unaweza itumia roughly tu😂😂😂Dah sema pesa usiyoitolea jasho huwaga haiheshimikiii
Yani milion 10 unaichakaza ndani ya dakika chache sana
Aisee hela ilikuwa ndefu sana hio, na Mr.Nice alikuwa na connection nzuri sana East Africa hasa Nairobi ikampeleka Ulaya kirahisi 😂😂😂 na kule ndio alizikung'uta dollar za maana. Sina shaka na yeye kumiliki 1B maana show za nje alifanya nyingi tu.Imagine B ya wakati ule
Pesa ilikuwepo haswa sababu teknolojia ilikuwa chini so watu waliokuwa wanatoboa walikuwa wanapiga hela haswaa! Hasa ambao walijimix Nairobi walifunguka haraka kwenda International. Huku wazawa wengi tukiwa gizani.Pesa wakati ule ilikuwepo bana,Mimi baba mkubwa wangu alikuwa anampa mkewe maburungutu ya pesa briefcase imejaa apeleke Bank
Yule Mzee alikuwa na magari kibao,pesa ilikuwepo,wachache walikuwa nayo,wasanii na viongozi
Hili TID alishawahi kulisema kupata M5-10 wakati ule lilikuwa jambo la kawaida Sana tena Sana lakini ndio hivyo wote hakuna aliyewekeza zaidi ya anasa tu.Pesa ilikuwepo haswa sababu teknolojia ilikuwa chini so watu waliokuwa wanatoboa walikuwa wanapiga hela haswaa! Hasa ambao walijimix Nairobi walifunguka haraka kwenda International. Huku wazawa wengi tukiwa gizani.
Yani mfano miaka ile kwa wasanii kupata 1-10M ilikuwa jambo la kawaida sana. Ndipo kina fella waliptajirikia humo. Show ya million 100 wanagawa 50M wao wanakula cha juu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nimekutana na freooz na picnic arusha anachekacheka tu [emoji3][emoji3]malaya wanamkimbilia na wahuni wanampa offer za bia
Mbona wengi wenye mentality kama yangu walĺikamata, wamekamata na watakamata hela ndefu tu. Sasa hela bila ngono inafaida gani si ufe tu. Raha ya hela nikutandaza miti at will. Twenty four hours of massive and aggressive fakin.
Aahahaha km japeeengaHuyo ferooz sijui anaimba nini siku hizi mara japenga mara sijui nini khah
Enzi zake kuna siku alitaka kunigonga na jeep lake akaleta ujuaji nilitaka kumfunua na motoYule sio wa kumuonea huruma.
Ujue bora umuonee huruma ambaye japo kala bata ila alikua peace na watu.
Huyu alikua mshenzi hata kwa wenzie wa Daz Nundaz
Mondi WameshamshindwaHapo ndo ujue kumtofautisha Nasib na wengine, platform aloikuta ilikuwa ni ileile, Mr Nice kafatana na akina Blue, Kiba, Top Band na wengine wote then ndo akaingia Nasib, juhudi binafsi, kujishusha, nidhamu ya kazi na pesa kumemfanya alete transformation kubwa kwenye game.
Hao wote msompenda na kuwasifia leo hii hakuna kipya wanachokifanya isipokuwa wanafanya kuegeza kwa Nasib ili tu wazungumzwe na mpaka wanashtuka na kuanza kufanya wanajikuta mwenzao aliyafanya hayo miaka 5, 6 ilopita (kitu ambacho ni kizuri), wanayafanya hayo huku WAKUSAIDIWA NA HUJUMA KUBWA ANAYOFANYIWA DIAMOND, ukitoa Wasafi FM, hakuna radio station ilikuwa inapiga song za Diamond, RFA usiku kucha walikuwa wakipiga nyimbo za Harmonize na Ali Kiba hata 20 hadi wiki mbili tatu majuzi ndo utasikia angalau song moja ya Diamond, hii haifanyiki kwa bahati mbaya vivyo hivyo kwa sehemu za starehe, (mambo haya sio sawa), sababu za kupambana kumshusha wanazijua wenye nguvu na asipokuwa makini watafanikiwa.
tusiwalaum sana kina mr niceView attachment 2271678
tusiwalaum sana kina mr niceView attachment 2271678
Kitu kimoja ambacho hua tunasahau ni kwamba, kuwa na kipaji km mziki, uigizaji, michezo nk haimaanishi kuwa mtu huyo pia ana AKILI! Na hata pale wanapoweka ma meneja mara nyingi unakuta mameneja nao wanawazunguka na kuwapiga hivyo wengi kuishia kwenye umasikini.Hii hali huwakuta wengi walio kwenye huo mfumo wa kupata pesa kwa mkupuo...hii ipo hata huko mbele, wanazuzuka sema wengi wanaokolewa na management kama zipo imara.
Nilimsikia Jack Chan kwenye interview anasema alilipwa pesa nyingi kwenye movie akachanganyikiwa akawa ananunua kila kitu hovyo..anasema akikumbuka huo wakati anajiona mjinga wa mwisho.
Sema tu pesa ikawa inaendelea kuingia mpaka ikamkuta anakomaa akili.