Prof Jay: Ferooz akiwa wa moto sana alikuwa hagusiki yaani uvimbaji kama wote

Na kingine kinachofanya azidi kupaa zaidi ni kwamba haridhiki na kubweteka kama wafanyavyo wengine,yeye bado anazidi kuumiza kichwa na kubuni zaidi.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuchomoka hapo ni kazi sana.
Halafu hawa viumbe huwa wananusa hela hata usipotangaza wanajua na kuanza kujisogeza kwako makusudi.
Ni kazi kwako, tupo marijali pia ambao hatuendeshwi hovyo na nyege kama wewe. Sasa mwanamke anapojisogeza kwako kwani ni lazima apate anachokitaka? Utatoa kwa wangapi sasa?
 
Mimi nikibahatika kupata hela nyingi kwa ghafla nitazini balaa. Tandaza miti kama sina akili nzuri kwaanzia vibinti legal age 18+ kuendelea huko. Labda ndo maana sirgodi ameniwekea limit. Yani anifanye dollar millionaire. God forbid
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walikuwa wanaiga maisha ya kimarekan waliyokiwa wanayaona kwenye movie
Hii imepoteza wengi sio wanamuziki tu, vijana wengi imetucost. Growing in the 90s music videos and movies were the major influence. Siku hizi mitandao ndio inapoteza kizazi hiki nao wata regret kivyao time ikifika
 
Mwanadamu huwa na akili na mipango mingi pindi anapokuwa na njaa,shida na ufukara...pindi ukizipata akili hukaa pembeni isipokuwa kwa wachache tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…