Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Nikasema inshallaMi namfahamu yule anayetingisha TAKO tu, nasikia ni Vanessa Mdee.
We kaka koma hii ngoma aghali...!!!
Akajib...We vipi hebu nipishe
- We kinyago kubali yaishe
Amedhindwa kujiongeza tuu mketa madaAliyeimba sio aliyeonekana kwenye video
aisee kweli wewa forodhani, mimi mwenyewe namkumbuka sana munira alikuwa mkali balaa ,vijanawa forodhani wamekuoa sana kwa macho sababu ilikuwa kama unakisu ndo utampataalikuwa na bwana wake kaka mkuu victor mango alikuwa miguu mizuri kinoma kipindi hicho kula mihogo ya njano south.
acha tu ndugu yangu nilikuwa nnakula kwa macho tu hela yenyewe sina mtoto mkali vile utampeleka south kula mihogo ya njano na samaki wa fungu juice ya super dip.aisee kweli wewa forodhani, mimi mwenyewe namkumbuka sana munira alikuwa mkali balaa ,vijanawa forodhani wamekuoa sana kwa macho sababu ilikuwa kama unakisu ndo utampata
Paulina zongo huyu huyuu..mdada aliyeshirikishwa anaitwa pauline zongo.. kama cjakosea
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mi namfahamu yule anayetingisha TAKO tu, nasikia ni Vanessa Mdee.
Miaka inakimbia sana Majani alitafuna totozi sana vikiwa vinasoma leo mwanawe akiwa stage hiyo hiyo anakandamizwa na yeye akiona.kweli mkuu huyo demu alikuwa anaitwa munira alikuwa demu wa p funk nilisoma naye forodhani secondary ingawa aliniacha madarasa 3 alikuwa mkali kinoma nnaanza form 1yeye yupo 4
Acha utani mkuu Vanessa anatako la kutingisha?Mi namfahamu yule anayetingisha TAKO tu, nasikia ni Vanessa Mdee.
We kaka koma hii ngoma aghali...!!!
Akajib...We vipi hebu nipishe
- We kinyago kubali yaishe
Kama si yeye basi ni Nandy MkuuAcha utani mkuu Vanessa anatako la kutingisha?
mtenda hutendewaalikuwa demu wa p funk
Basi hata King Kaka anaongea tu.Naona umeshindwa kutofautisha rap na kuongea haraka haraka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] peopleYule dada ni wema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shilole yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 2016 kulkua na mamboNilisikiaga ile sauti ni ya Kajala kipindi anadate na majani ndo wakatumbukiza sauti yake mule