YeaaaaahYah "WOMAN OF PRINCIPLES" nimeikimbuka pia namkubali sana huyo manzi
Amrudishe yule "HII NGOMA YA GARI" zinga la zigo. Enzi hizo linasoma UD tofaut na Hawa kina Ambalulu slay queen hata hajui kuandika jina lakeSalaam!!.
Leo nikiwa natazama vipindi kwenye luninga, ulichezwa wimbo wa Prof. Jay, (Joseph Haule) ambaye kwasasa ni Mbunge wa Mikumi. Wimbo ule unaitwa ZALI LA MENTALI, Kiukweli nikakumbuka mbali sana, kwakuwa ni wimbo wa muda mrefu kidogo, lakini ukiusikiliza nakuuangalia bado una sound poa sana masikioni.
Kwa abaeufahamu wimbo ule ambao prof. Jay alimshirikisha Juma Nature, lakini pia kunasikika sauti ya mwanadada ambaye alikuwa akijibizana na Prof. Jay, kiukweli katika hali ya kawaida unaweza sema Yule dada anaongea tuu lakini uhalisia nikwamba Yule Dada pale alikuwa anaimba kwa staili yaku rap, naamini Yule Dada alikuwa nakipaji sana chakufanya mziki.
Mpaka Leo Yule Dada sijamfahamu alikuwa ninani, mana nafikiri alisikika tu kwenye ule wimbo. Mh. Mbunge Joseph Haule (Prof.Jay) kama Yule Dada bado yupo Mrudishe kwenye Mziki, muweke tena kwenye Ngoma alafu mpe afanye kipande kikubwa tofauti naile nafasi ndogo yakwenye Zali la Mentali.
View attachment 428946View attachment 428947
Baadhi ya picha katika wimbo huo wa Zali la Mentality. [emoji115][emoji115]
Anaitwa nani yule manzi?Amrudishe yule "HII NGOMA YA GARI" zinga la zigo. Enzi hizo linasoma UD tofaut na Hawa kina Ambalulu slay queen hata hajui kuandika jina lake
Mh 🙄🙄🙄🙄Yule dada ni "Rah P"acheni uongo ushahidi ni kuwa nilikuepo studio za Bongo Record siku wanarekodi.
Anaitwa Kajala Masanja a. k. a Mama Paula.Sawa, ila nahitaji Yule aliyeimba sasa.
Wewe uko sahihiNilisikiaga ile sauti ni ya Kajala kipindi anadate na majani ndo wakatumbukiza sauti yake mule
Yule Dada ni Shilole, mimi ndio nilimshikia MicYule dada ni "Rah P"acheni uongo ushahidi ni kuwa nilikuepo studio za Bongo Record siku wanarekodi.
Baaada ya miaka Mingi kupita jibu limepatina yue dada aliyeimba huo wimbo kwa rap ya kugani alikuwa ni kajala wa Madanja konde Boy eX.Salaam!!.
Leo nikiwa natazama vipindi kwenye luninga, ulichezwa wimbo wa Prof. Jay, (Joseph Haule) ambaye kwasasa ni Mbunge wa Mikumi. Wimbo ule unaitwa ZALI LA MENTALI, Kiukweli nikakumbuka mbali sana, kwakuwa ni wimbo wa muda mrefu kidogo, lakini ukiusikiliza nakuuangalia bado una sound poa sana masikioni.
Kwa abaeufahamu wimbo ule ambao prof. Jay alimshirikisha Juma Nature, lakini pia kunasikika sauti ya mwanadada ambaye alikuwa akijibizana na Prof. Jay, kiukweli katika hali ya kawaida unaweza sema Yule dada anaongea tuu lakini uhalisia nikwamba Yule Dada pale alikuwa anaimba kwa staili yaku rap, naamini Yule Dada alikuwa nakipaji sana chakufanya mziki.
Mpaka Leo Yule Dada sijamfahamu alikuwa ninani, mana nafikiri alisikika tu kwenye ule wimbo. Mh. Mbunge Joseph Haule (Prof.Jay) kama Yule Dada bado yupo Mrudishe kwenye Mziki, muweke tena kwenye Ngoma alafu mpe afanye kipande kikubwa tofauti naile nafasi ndogo yakwenye Zali la Mentali.
View attachment 428946View attachment 428947
Baadhi ya picha katika wimbo huo wa Zali la Mentality. [emoji115][emoji115]
Hapa ulitupiga na kitu kizito kichwani alafu ukatumalizia kutudunga na kitu chenye ncha kali😂Yule dada ni wema
Vp hujamla kimasiharaNargis yuko wapi siku hizi?
Alikuwa rafiki yangu sana enzi hizo.
Nilimchukulia kama dada mdogo mkuu.Vp hujamla kimasihara
Aliyeimba siye aliyeonekana kwenye video. ALiyeimba ni KAJALA na walioonekana ni huyo dada pamoja Nargis aliyewahi kuwa miss TanzaniaSalaam!!.
Leo nikiwa natazama vipindi kwenye luninga, ulichezwa wimbo wa Prof. Jay, (Joseph Haule) ambaye kwasasa ni Mbunge wa Mikumi. Wimbo ule unaitwa ZALI LA MENTALI, Kiukweli nikakumbuka mbali sana, kwakuwa ni wimbo wa muda mrefu kidogo, lakini ukiusikiliza nakuuangalia bado una sound poa sana masikioni.
Kwa abaeufahamu wimbo ule ambao prof. Jay alimshirikisha Juma Nature, lakini pia kunasikika sauti ya mwanadada ambaye alikuwa akijibizana na Prof. Jay, kiukweli katika hali ya kawaida unaweza sema Yule dada anaongea tuu lakini uhalisia nikwamba Yule Dada pale alikuwa anaimba kwa staili yaku rap, naamini Yule Dada alikuwa nakipaji sana chakufanya mziki.
Mpaka Leo Yule Dada sijamfahamu alikuwa ninani, mana nafikiri alisikika tu kwenye ule wimbo. Mh. Mbunge Joseph Haule (Prof.Jay) kama Yule Dada bado yupo Mrudishe kwenye Mziki, muweke tena kwenye Ngoma alafu mpe afanye kipande kikubwa tofauti naile nafasi ndogo yakwenye Zali la Mentali.
View attachment 428946View attachment 428947
Baadhi ya picha katika wimbo huo wa Zali la Mentality. [emoji115][emoji115]
Ok mkuu hajakuangusha bint ameolewa kwaheshima kabisaNilimchukulia kama dada mdogo mkuu.
Nimemfundisha vizuri kaka mkubwa.Ok mkuu hajakuangusha bint ameolewa kwaheshima kabisa
[emoji119][emoji119]Nimemfundisha vizuri kaka mkubwa.