Prof. Jay, mrudishe huyu mdada kwenye ramani

Salaam!!.

Leo nikiwa natazama vipindi kwenye luninga, ulichezwa wimbo wa Prof. Jay, (Joseph Haule) ambaye kwasasa ni Mbunge wa Mikumi. Wimbo ule unaitwa ZALI LA MENTALI, Kiukweli nikakumbuka mbali sana, kwakuwa ni wimbo wa muda mrefu kidogo, lakini ukiusikiliza nakuuangalia bado una sound poa sana masikioni.

Kwa abaeufahamu wimbo ule ambao prof. Jay alimshirikisha Juma Nature, lakini pia kunasikika sauti ya mwanadada ambaye alikuwa akijibizana na Prof. Jay, kiukweli katika hali ya kawaida unaweza sema Yule dada anaongea tuu lakini uhalisia nikwamba Yule Dada pale alikuwa anaimba kwa staili yaku rap, naamini Yule Dada alikuwa nakipaji sana chakufanya mziki.

Mpaka Leo Yule Dada sijamfahamu alikuwa ninani, mana nafikiri alisikika tu kwenye ule wimbo. Mh. Mbunge Joseph Haule (Prof.Jay) kama Yule Dada bado yupo Mrudishe kwenye Mziki, muweke tena kwenye Ngoma alafu mpe afanye kipande kikubwa tofauti naile nafasi ndogo yakwenye Zali la Mentali.

View attachment 428946View attachment 428947

Baadhi ya picha katika wimbo huo wa Zali la Mentality. [emoji115][emoji115]
Amrudishe yule "HII NGOMA YA GARI" zinga la zigo. Enzi hizo linasoma UD tofaut na Hawa kina Ambalulu slay queen hata hajui kuandika jina lake
 
Salaam!!.

Leo nikiwa natazama vipindi kwenye luninga, ulichezwa wimbo wa Prof. Jay, (Joseph Haule) ambaye kwasasa ni Mbunge wa Mikumi. Wimbo ule unaitwa ZALI LA MENTALI, Kiukweli nikakumbuka mbali sana, kwakuwa ni wimbo wa muda mrefu kidogo, lakini ukiusikiliza nakuuangalia bado una sound poa sana masikioni.

Kwa abaeufahamu wimbo ule ambao prof. Jay alimshirikisha Juma Nature, lakini pia kunasikika sauti ya mwanadada ambaye alikuwa akijibizana na Prof. Jay, kiukweli katika hali ya kawaida unaweza sema Yule dada anaongea tuu lakini uhalisia nikwamba Yule Dada pale alikuwa anaimba kwa staili yaku rap, naamini Yule Dada alikuwa nakipaji sana chakufanya mziki.

Mpaka Leo Yule Dada sijamfahamu alikuwa ninani, mana nafikiri alisikika tu kwenye ule wimbo. Mh. Mbunge Joseph Haule (Prof.Jay) kama Yule Dada bado yupo Mrudishe kwenye Mziki, muweke tena kwenye Ngoma alafu mpe afanye kipande kikubwa tofauti naile nafasi ndogo yakwenye Zali la Mentali.

View attachment 428946View attachment 428947

Baadhi ya picha katika wimbo huo wa Zali la Mentality. [emoji115][emoji115]
Baaada ya miaka Mingi kupita jibu limepatina yue dada aliyeimba huo wimbo kwa rap ya kugani alikuwa ni kajala wa Madanja konde Boy eX.
 
Salaam!!.

Leo nikiwa natazama vipindi kwenye luninga, ulichezwa wimbo wa Prof. Jay, (Joseph Haule) ambaye kwasasa ni Mbunge wa Mikumi. Wimbo ule unaitwa ZALI LA MENTALI, Kiukweli nikakumbuka mbali sana, kwakuwa ni wimbo wa muda mrefu kidogo, lakini ukiusikiliza nakuuangalia bado una sound poa sana masikioni.

Kwa abaeufahamu wimbo ule ambao prof. Jay alimshirikisha Juma Nature, lakini pia kunasikika sauti ya mwanadada ambaye alikuwa akijibizana na Prof. Jay, kiukweli katika hali ya kawaida unaweza sema Yule dada anaongea tuu lakini uhalisia nikwamba Yule Dada pale alikuwa anaimba kwa staili yaku rap, naamini Yule Dada alikuwa nakipaji sana chakufanya mziki.

Mpaka Leo Yule Dada sijamfahamu alikuwa ninani, mana nafikiri alisikika tu kwenye ule wimbo. Mh. Mbunge Joseph Haule (Prof.Jay) kama Yule Dada bado yupo Mrudishe kwenye Mziki, muweke tena kwenye Ngoma alafu mpe afanye kipande kikubwa tofauti naile nafasi ndogo yakwenye Zali la Mentali.

View attachment 428946View attachment 428947

Baadhi ya picha katika wimbo huo wa Zali la Mentality. [emoji115][emoji115]
Aliyeimba siye aliyeonekana kwenye video. ALiyeimba ni KAJALA na walioonekana ni huyo dada pamoja Nargis aliyewahi kuwa miss Tanzania
 
Back
Top Bottom