Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww n mungu au shetanHawezi kurud vile tena
Umefurahia?Kaumwa kabadilika hata Muonekano
Na kwa wale wagonjwa wengine ambao waliugua na mwisho kufariki, vipi Tuseme Yesu hakutaka kujitukuza kwao? au Aliwapotezea? Au aliwadharau?Yesu amejitukuza kwenye maisha ya kaka Jay
Tuna mengi ya kujifunza toka kwenye msimu mgumu aliopitia
Naomba kujua tu,
Ni maradhi gani anayo Mkuu?Na kwa wale wagonjwa wengine ambao waliugua na mwisho kufariki, vipi Tuseme Yesu hakutaka kujitukuza kwao? au Aliwapotezea? Au aliwadharau?
Kupona kwa prof jay Kwanza ni uwepo wa msaada wa kifedha uliopatikana kupitia Serikali yake na michango ya watu binafsi, maana Kwa maradhi yake kama kapuku kutoboa ni ngumu
Na mwisho kabisa ni bahati yake tu kuwa hai hadi muda huu, hayo mambo ya Yesu hivi au Yesu vile mbona wapo wanaofia Makanisani wakila maombi usiku kucha
Na kwa wale wagonjwa wengine ambao waliugua na mwisho kufariki, vipi Tuseme Yesu hakutaka kujitukuza kwao? au Aliwapotezea? Au aliwadharau?
Kupona kwa prof jay Kwanza ni uwepo wa msaada wa kifedha uliopatikana kupitia Serikali yake na michango ya watu binafsi, maana Kwa maradhi yake kama kapuku kutoboa ni ngumu
Na mwisho kabisa ni bahati yake tu kuwa hai hadi muda huu, hayo mambo ya Yesu hivi au Yesu vile mbona wapo wanaofia Makanisani wakila maombi usiku kucha
Kwa taarifa ambazo sio rasmi, wanadai ni maradhi ya Figo mkuu, ni maradhi ambayo matibabu yake ni gharama sana ndugu yangu na ukiangalia muda ambao amejiuguza sio poaNi maradhi gani anayo Mkuu?
Kumbe Kuna wengine wakiumwa wananawiri! Sidhani labda wale mademu tunaowataka sna maana hta akiiumwa bdo utamdanganya tu hta ukiumwa bdo unakuwa mzuri tuKaumwa kabadilika hata Muonekano
haha 😀Kumbe Kuna wengine wakiumwa wananawiri! Sidhani labda wale mademu tunaowataka sna maana hta akiiumwa bdo utamdanganya tu hta ukiumwa bdo unakuwa mzuri tu
Alisikika Daktari Bingwa.Hawezi kurud vile tena