LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.

Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.

====

Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.

Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.

Kupata matukio yote kimkoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

1731055361137.png
 
Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.

Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.

Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025


1731053871203.png

 
Hizi ni rasharasha

Mvua zenyewe ni mwakani 2025, ambapo wagombea wa CDM Kwa ngazi ya Udiwani na Ubunge watakapoenguliwa na kuachwa wa UDP ama Sauti ya Umma 🙌

Kuna watu walidhani Samia angekuwa tofauti na JPM, ili hali amekuwa Msaidizi wake Kwa miaka 6
 
Hakika sintaacha kumlaani Magufuli muasisi wa huu upumbavu. Chura kiziwi ajitazame sana haki za watu huwezi kuzichezea Mungu akakuacha salama.
Tuendelee kumuomba Mungu mpaka aamue huu ugomvi dhidi ya Haki
Mkuu inawezekana sio mama ila ni wakurugenzi kutaka kufagilia kibarua chao, kazi za chawa
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama . Like father like mother.
Sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio" Afrika"
Source joseph haule ,a.k.a profesa j. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji.
Ni vyema, ili wahanga wahusika wajifunze.
 
Hakuna jipya, mkuu, mm nilisema kuwa shida ni mfumo wa kichawa
Duniani kote kabisa uzoefu unaonyesha kwamba Tawala za Kikomunisti/Ujamaa huwa haziondoki madarakani kwa njia za kidemokrasia. Never! Mifano hai ipo mingi Sana, mathalani, kusambaratika kwa Shirikisho la Urusi ya zamani (USSR).
Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
 
Back
Top Bottom