LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Si mlishangilia kwamba dhalimu kafa sasa mnapumua huku mama yenu akipiga mwingi?

Vilio vya nini sasa
Huyo Chizi badala ya kumlaumu Samia anamlaumu Magufuli ambaye hayupo.Kama Samia ndo Rais nini kjnamfanya asifanye tofauti na Magufuli wakati Mamlaka yote anayo
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.

Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.

====

Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.

Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.

Kupata matukio yote kimkoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

 

Attachments

  • IMG-20241108-WA0057.jpg
    IMG-20241108-WA0057.jpg
    117.6 KB · Views: 3
Tuliwaambiwa msipoteze muda na uchaguzi, mkajifanya vichwa vigumu. Muache kulia,

Kauli mbiu inatakiwa kuwa "No reforms no elections"... waacheni wapite nchi nzima bila kupigwa, kuanzia serikali za mitaa mpaka urais!
 
Wananchi na wapiga kura huko wamekubaliana na utaratibu huo?
 
Back
Top Bottom