LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Si mlishangilia kwamba dhalimu kafa sasa mnapumua huku mama yenu akipiga mwingi?

Vilio vya nini sasa
Tatizo siyo dhalimu wala tatizo siyo mama yenu, bali tatizo ni kwamba Katiba ya nchi tuliyonayo ni mbaya Sana kupita kiasi.
The only available and suitable solution ni upatikanaji wa Katiba Mpya iliyo nzuri.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.

Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.

====

Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.

Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.

Kupata matukio yote kimkoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Kwanini wanatumia pesa nyingi kuandaa uchaguzi? Kama hawataki au wanaogopa uchaguzi wawe wanateuana tu na hizo pesa zinazotengwa kwaajili ya uchaguzi zifanye shughuli nyingine za maendeleo.
 
Tatizo siyo dhalimu wala tatizo siyo mama yenu, bali tatizo ni kwamba Katiba ya nchi tuliyonayo ni mbaya Sana kupita kiasi.
The only available and suitable solution ni upatikanaji wa Katiba Mpya iliyo nzuri.

Wasimamizi wa katiba mzuri ni hao hao, kama wanaweza kusema katiba ni vikaratasi kuna Kazi, hapo issui sio katiba ,issue ni mfumo mbovu wa kukosa uwadilifu na uwajibikaji kwisha. Na hii sio ccm wala chadema, the Tanzania mzima .
 
Sababu ya kuenguliwa ni nini? Wagombea wote wa chadema nakumbuka walipewa mawakili wawajazie fomu,ili kusitokee yale ya mwaka 2019,sasa ni nini kimetokea mpaka wakaenguliwa,sababu ni nini?
Wa CCM mbona wanajaza bila mawakili?
 
Y
Wasimamizi wa katiba mzuri ni hao hao, kama wanaweza kusema katiba ni vikaratasi kuna Kazi, hapo issui sio katiba ,issue ni mfumo mbovu wa kukosa uwadilifu na uwajibikaji kwisha. Na hii sio ccm wala chadema, the Tanzania mzima .
You are completely wrong and out of point.
Katiba ya nchi katika nchi yoyote ile ya kidemokrasia huwa ni Mali ya wananchi wote katika nchi husika.
 
Katiba ikiwa nzuri alafu viongozi sio waadilifu? What will happen? Ni kutoa baadhi ya vifungu ambavyo vinawazuia, mfano jpm,aliongeza, sheria ya kutowashitaki, WAZIRI mkuu, spika, na MAKAMU, amekuja mama, ameweka sheria ya tiss kutoshitakiwa. Je hapo ni katiba au tatizo ni viongozi kukosa uwadilifu?
 
Ndio maana mama alisema katiba ni makatasi tu!
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.

Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.

====

Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.

Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.

Kupata matukio yote kimkoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Kucheka na nyani lazima akuachie mabua
 
Back
Top Bottom