Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Wa chadema tu.. kuwa fomu zao zilikuwa tofauti? wote?ukute hawakujaza fomu vizuri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa chadema tu.. kuwa fomu zao zilikuwa tofauti? wote?ukute hawakujaza fomu vizuri!
Niko natafuta mazuri aliyorithi, nikipata soon nitayaandikaKwahiyo alirithi mabaya tu!!!
Ni vyema, ili wahanga wahusika waweze kujifunza.Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.
Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Huo umma wa Wakenya au TanganyikaNguvu ya uma ni muhimu sana
Alaniwe huko aliko.Hakika sintaacha kumlaani Magufuli muasisi wa huu upumbavu. Chura kiziwi ajitazame sana haki za watu huwezi kuzichezea Mungu akakuacha salama.
Tuendelee kumuomba Mungu mpaka aamue huu ugomvi dhidi ya Haki
Ni msiba.Kazi ngumu sana
ForSababu ya kuenguliwa ni nini? Wagombea wote wa chadema nakumbuka walipewa mawakili wawajazie fomu,ili kusitokee yale ya mwaka 2019,sasa ni nini kimetokea mpaka wakaenguliwa,sababu ni nini?
Huyu joseph haule tumemhudumia pale hospital nusu afe mama katoa mamilion ya fedha ya kumtibia lakini leo anasema tusije laumiana anatishiana na serikali aiseeHayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.
====
Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.
Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndo ile laana ya kizazi cua 3 mpaka cha 4.Ivi afrika ni laana au nn hasa
Mkuu inawezekana sio mama ila ni wakurugenzi kutaka kufagilia kibarua chao, kazi za chawa
Hahahhahahha, mkuu mama alitoa pesa kwa ajili ya kumsaidia, tu na sio kwamba asigombeeee ubunge , hiyo itakuwa rushwaYaaan
Huyu joseph haule tumemhudumia pale hospital nusu afe mama katoa mamilion ya fedha ya kumtibia lakini leo anasema tusije laumiana anatishiana na serikali aisee
Inawezekana mkuuKumtenganisha Mama ABDUL na huu ujinga unaoendelea wakati kwenye Mazuri yote anahusishwa .... Ni UZWAZWA wa hali ya juu. Mama ABDUL lazima atake responsibility kwa yote yanaofanywa na serikali yake, whether directly or indirectly!!
Mtu mweusi ni kiumbe hatari sana ikiwa Mungu angemzidishia japo tone la utashi, hata Shetani angeisoma namba.Inawezekana maana, tunashida sana