LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Si mlishangilia kwamba dhalimu kafa sasa mnapumua huku mama yenu akipiga mwingi?

Vilio vya nini sasa
Huyo Chizi badala ya kumlaumu Samia anamlaumu Magufuli ambaye hayupo.Kama Samia ndo Rais nini kjnamfanya asifanye tofauti na Magufuli wakati Mamlaka yote anayo
 
 

Attachments

  • IMG-20241108-WA0057.jpg
    117.6 KB · Views: 3
Tuliwaambiwa msipoteze muda na uchaguzi, mkajifanya vichwa vigumu. Muache kulia,

Kauli mbiu inatakiwa kuwa "No reforms no elections"... waacheni wapite nchi nzima bila kupigwa, kuanzia serikali za mitaa mpaka urais!
 
Wananchi na wapiga kura huko wamekubaliana na utaratibu huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…