Prof. Joseph Mbele atoa andiko kupinga kauli ya Dr. Mwakyembe

Huyo Prof nilipoona kavaa kofia imeandikwa "Make Africa great again"Nimekata tamaa hata kusoma bandiko lake. Ingawa hata mimi nampinga Mwakyembe.
Can he tell us when Africa was great?Bora hata angesema make Africa great.
Civilization ya hii dunia ilianzia Africa tuliheshimika na kuogopeka tulikua watawala wakubwa hapa duniani ref egypt enza za farao ,timbuktu enz za mansa musa, ethiopia na queen of sheba .
"Dem nuh wan fi nuh dem history yuh nuh see say dem a goon"
 
Wewe ni bure kabisa....nmecheka sana. Huwezi panda huku juu nlipo baki huko huko chini kwa wenzio
Usiniletee hizo. Ni ama tuheshimiane au kinyume chake, sitapanda mpaka level yako ya ujinga ila nitajaribu.
 
Wewe ni bure kabisa....nmecheka sana. Huwezi panda huku juu nlipo baki huko huko chini kwa wenzio
Peace. Kama umeridhia kubaki level ya juu ya ujinga mimi ni nani nikupinge?

Siku njema mfalme.
 
Wajinga hukaa juu ili wapate kuelewa na wapumbavu hukaa chini wakidhani wapo salama wameshaelewa.

Peace. Kama umeridhia kubaki level ya juu ya ujinga mimi ni nani nikupinge?

Siku njema mfalme.
 
Naona Prof kaibiwa penseli
 
Thanks to Wazungu for visiting, partioning and colonising Africa. Otherwise tungekuwa kama Amazonian au watu wa Papua Guinea. Nakubali "Make Africa Great Please" Slogan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…