Prof JOYCE NDALICHAKO haya yakufikie hata kama yatakuuma, lakini ndio ukweli wenyewe


Asante kwa kutafsiri alichotaka kusema angalau ujumbe sasa umefika
 
Huyu apelekwe Wizara ya Mambo ya Ndani kwani Wadau wake ni FORM FOUR FAILURE.
 
Ninafurahi sana pale nikimuona prof ndalichako akiongea kizungu kwa sababu ananifanya nione kuwa mimi ninaweza sana kiingereza na nina pronounce vizuri sana maneno yake ilhali hata hiyo master sina
Professor wa mchongo 😅 huyu mama mdomo hawezi ila mpe karatasi na kalamu ndio utajua hujui!
Hajawekwa hapo kwa bahati mbaya😅
 
I agree...

Public speaking ni kipaji...

Huyu huyu angeweza kuwasilisha hoja yake kwa maandishi, labda tungemuelewa vizuri tu
 
Ila humu JF kumetolewa Ushauri mwingi jinsi ya kuboresha elimu Tanzania, what to be done, ila yote imekua bure, mama hasikii wala haelewi, huyu mama ana matatizo mengi
 
Umeendika kwa machungu sana. Ni kweli, Prof nadhani alimezwa na mfumo. Haiwezekani tuwe na shule za vipaji maalumu na bado hatuvitambui kwa ajili ya manufaa ya baadaye kwa taifa. Nilitegemea basi hata vijana wa vipaji wangepelekwa hata MIT kusomea ujuzi na kurejea na technologia. Lakini unakuta hapo wizarani wakubwa ni vikumbo na majungu
 
Bado TZ tuna safari ndefu sana kwa elimu, kama bado hadi leo kuna watu wanaongelea uwezo wa uongeaji wa MAMA na kutoa judgment ni simanzi.

Angalieni utendaji tuache judge vitabu kwa kusoma macover tu,mnae mkosoa sijawahi waona kule kwenye majukwaa ya NGELI NGELI wote thread mnapost huku hoja mchanganyiko.

onyesheni mifano sasa mnapomkosoa PROF kuweni mifano hai mwageni uyai tuone level zenu hata za grammar na nyie.

Tanzania tuna safari ndefu sana asee.. Hili linchi silipasuliwe kati halafu upande nilioko mimi Upewe jina lingine Tanzania ibaki upande huo uko,niwe ndo nishajiyoa automaticaly..

Raia wa hiii nchi akili zao 80% wote zipo sawa sijui hii model ya kizazi cha hii nchi ni model gani...
 

Haya mkuu, tusiongelee English yake wewe unaona wizara ya Elimu anaitendea haki?
 
Haya mkuu, tusiongelee English yake wewe unaona wizara ya Elimu anaitendea haki?
na andiko langu limelenga kuboresha wizara kupitia uanzishaji wa mfumo mpya utakao iokoa Tanzania kisayansi na teknolojia kwa vitendo na sio masimulizi kama yanayofanyika kwa sasa, cha ajabu anakuja mdau anakomalia kiingereza cha Joyce
 
Ila humu JF kumetolewa Ushauri mwingi jinsi ya kuboresha elimu Tanzania, what to be done, ila yote imekua bure, mama hasikii wala haelewi, huyu mama ana matatizo mengi
thats the point, inauma na kukera kuona wote tunakubaliana kuwa mfumo uliopo ni mbovu lakini wameung'ang'ania kuliko mfano wa kitu chochote
 
Duu! Yaani hiki ni Kiinglish cha profesa? Ndiyo maana kina Msukuma wanawatukana.
 
thats the point, inauma na kukera kuona wote tunakubaliana kuwa mfumo uliopo ni mbovu lakini wameung'ang'ania kuliko mfano wa kitu chochote
Labda ni PRIDE, wanaona wakichukua mawazo humu wataonekana hawafanyi kazi...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…