Prof JOYCE NDALICHAKO haya yakufikie hata kama yatakuuma, lakini ndio ukweli wenyewe

watu wenye akili nzito kuelewa mada kama wewe ndio mnatuchelewesha, umezoea ukiona title ni Joyce ndalichako basi kinazungumziwa kizungu chake, hapa mada ni mfumo rafiki kwa wanafunzi utakao wawezesha wao kuwa watalamu wa sayansi na teknolojia kulingana na wakati tuliopo,

kuna mawili, either haujasoma mada ya mazungumzo au umekurupuka, tulia then leta mchango chanya na sio kuhoji uwezo wetu wa kuongea kiingereza,

mimi kama mimi nikianza kuongea au kuandika icho kizungu utaanza kuona kama najitapa kumbe ni ada yangu ndio inafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…