Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 821
Hapo ukali wote huo ni kwamba wameshindwa kujieleza jinsi walivyotumia zile Euro milioni 27 za msaada kwa ajili ya corona, wakati Tanzania hakuna COVID 19. Masaa 48 waliyopewa kutoa ufafanuzi yameonekana kama dakika 20 tuwho cares about you? na kaongea kweli, hii africa ishukuru tz katika kupigania uhuru
Hapo ukali wote huo ni kwamba wameshindwa kujieleza jinsi walivyotumia zile Euro milioni 27 za msaada kwa ajili ya corona, wakati Tanzania hakuna COVID 19. Masaa 48 waliyopewa kutoa ufafanuzi yameonekana kama dakika 20 tu
Hahaha eti tanzania imepigana vita nyingi na ikashinda ...so anawapiga mikwara Wadhamini wao hii inaitwa sisimizi kampiga tembo 😂 😂 😂 tz sihami wallahiPale kuku anapomjia juu mchinjaji
Tutawapiga hao European Union watakoma ...wasichezee Moto mkali🤣🤣Kwa Hiyo watapeleka JWTZ kuwapiga European Unioni sio?
Hahahahaha
Kaongea point lakini hazikuwa nzuri kutokana na yale anayoyajibu.Ameongea point sana huyu mzee
Wasiminye kwa sababu ya uroho wenuMbona mnawatetea mabeberu nyinyi au tayari mmeshaolewa na mabeberu?
jinga lingine hili💩💩Asante sana Mheshimiwa waziri Prof. Kabudi. You have read my mind perfectly. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania. Amina.
[emoji120][emoji120][emoji120]LOOoo, mkuu 'MLA PANYA SWANGA', nimekusoma vizuri sana. Una njia yako ya kipekee ya kueleza jambo na likaeleweka.
Hiyo mistari ya mwanzo juu ya biblia, ilitaka kunitoa kwenye reli, lakini ulivyoiunganisha kwa hoja uliyonuia kuieleza kiufundi kabisa, nilisimama vyema kwenye ile reli.
Hongera kwa kipaji chako hiki.
Adam not MusaMusa???
Halafu anaongea hayo na wafanyakazi wa wizara tu, chombo cha habari kikiwa TBC. EU watamsikiaje wakati anaongea kupitia wrong platform?Our very own Comical Ali...