Prof. Kabudi aieleza Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania haijawahi kushindwa vita ya aina yoyote

Prof. Kabudi aieleza Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania haijawahi kushindwa vita ya aina yoyote

who cares about you? na kaongea kweli, hii africa ishukuru tz katika kupigania uhuru
Hapo ukali wote huo ni kwamba wameshindwa kujieleza jinsi walivyotumia zile Euro milioni 27 za msaada kwa ajili ya corona, wakati Tanzania hakuna COVID 19. Masaa 48 waliyopewa kutoa ufafanuzi yameonekana kama dakika 20 tu
 
Hapo ukali wote huo ni kwamba wameshindwa kujieleza jinsi walivyotumia zile Euro milioni 27 za msaada kwa ajili ya corona, wakati Tanzania hakuna COVID 19. Masaa 48 waliyopewa kutoa ufafanuzi yameonekana kama dakika 20 tu

Wewe unatoa msaaada alafu unaaanza kunifuatilia tena sasa msaada gan huo. wakae na hela zao wasitubabaishe, afterall pesa za nchi tafaut hua haziingii kwenye mzunguko znaishia kufanya manunuzi tu nje, kwahio wakae na ela zao tu
 
Ameongea point sana huyu mzee
Kaongea point lakini hazikuwa nzuri kutokana na yale anayoyajibu.

Hizi point ilikuwa ni nzuri sana laiti kama angekuwa tuko bungeni tu anaonesha thamani ya nchi yetu.

Ila kwa sasa hivi hali ilivyochafuliwa tanzania huko nje haikuwa aongee hivi.
 
Kabudi kasahau tz ilishindwa kupambana na njaa Hadi tukaomba msaada wa chakula ubeberuni. Pia Nyerere alipotaka kupinduliwa alipewa msaada na mabeberu, tumeshindwa kujiendesha bila kubebwa na mabeberu tangu mwanzo.
 
LOOoo, mkuu 'MLA PANYA SWANGA', nimekusoma vizuri sana. Una njia yako ya kipekee ya kueleza jambo na likaeleweka.

Hiyo mistari ya mwanzo juu ya biblia, ilitaka kunitoa kwenye reli, lakini ulivyoiunganisha kwa hoja uliyonuia kuieleza kiufundi kabisa, nilisimama vyema kwenye ile reli.

Hongera kwa kipaji chako hiki.
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Vijana someni sana historia , mtadanganywa sana na hawa maprofesa uchwara wa majalani . Majibu ni haya hapa Baba wa taifa mwalimu Nyerere alishindwa vita vyake na mabeberu wa IMF na World Bank mpaka akaamua kuachia nchi akamkabidhi Mzee Mwinyi na mzee Mwinyi akakubali masharti yote ya Mabeberu ambayo mwalimu Nyerere aliyakataa kwa miaka zaidi ya 20 .
 
Watu makini huwa hawapotezi mwelekeo katika hali yoyote ile, huwa kapanic ata kabla vita kuanza
 
Back
Top Bottom