Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni mchekeshaji wa nani? Mabeberu au?Kabudi ni mchekeshaji wa mfalme
Hujui kitu. Unawakumbuka wakina Kambona and his company?Wasijifananishe na Nyerere pamoja na kwamba wapinzani wake walikuwa wakibanwa bado hakuwatendea unyama kama ilivyo sasa
Mbona mnawatetea mabeberu nyinyi au tayari mmeshaolewa na mabeberu?Kumbe Kabudi naye yuko hivyo, yani naye ni bangi tu. Wewe kweli unaweza ukausukuma mkono unaokulisha na bado ukawa na akili.
Zimbabwe kabla ya kuwekewa vikwazo akina Mugabe walikuwa na kauli za kipumbavu kama hizi lkn leo Zimbabwe ni "The Banana Republic".
Nani kazungumzia misaada? Unadhani kubanwa ni kunyimwa misaada tu? Halafu una jeuri yakuniambiwa niwe informed!Acha uoga wa maisha kijana!! Pambana na hali yako acha kufikiri misaada sana! Mtegemea misaada huwa hatoboi kwenye maisha! Be informed!
Neno "Informed" limekutisha au mkuu??!!Nani kazungumzia misaada? Unadhani kubanwa ni kunyimwa misaada tu? Halafu una jeuri yakuniambiwa niwe informed!
Amandla...
Acha kuwa na wasiwasi mkuu! Chapakazi tu usitegemee sana misaada!EGOISM mabaya yatakapolifika taifa miongoni mwa watu ambao hawataathirika kiuchumi ni pamoja na viongozi prof kabudi awe na mwono mpana zaidi hasa juu ya community ya watanzania wote IMPACT ITAKAPOKUJA WAO POSHO ZAO BENEFICIARY ZAO ZITAKUWA PALEPALE SO THEY WOULDNT FEEL ANY THINGS