Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Rekebisha hiyo english mkuuMh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
Huyo anafaa kuwa mwanaharakati sio kiongozi.Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
Tatizo sio kulipa kodi, hamna raia asiyejua kodi ni jambo muhimu. Tatizo ni wao kutaka kutumia mamlaka yao vibaya kukwepa kodi kwa expense ya wananchi wanaohitaji huduma!.Prf kabudi anasema hata utoke mbinguni au duniani lazima ulipe kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijibiwa nishtueMatokeo ya makinikia vipi?
Pole yako sanaHuyu jamaa namsikiliza hapa. Mpaka mwili unasisimka, kweli kama hatujui historia ya nchi yetu, basi tunaweza kujidharau sana. Mimi najivunia kuwa mtanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kujivunia kuwa Mtanzania mkuu
Tayar mbona ushajidharau,acha kufuata upepo,ki historia ww ni mtanganyika.Huyu jamaa namsikiliza hapa. Mpaka mwili unasisimka, kweli kama hatujui historia ya nchi yetu, basi tunaweza kujidharau sana. Mimi najivunia kuwa mtanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubaguzi mkuu, hata ningekuwa mtanganyika bado umesema mimi ni msukuma, read from the lineAcha kufuata upepo,ki historia ww ni mtanganyika.
Kuumbee
Wewe ni mtanganyika na mpak siku ya wewe kupewa uhuru na wakoloni ipo.Ya kujivunia kuwa Mtanzania mkuu
Umebaguliwa kwa kitu kipi?wewe umeandika tufate historia sasa nimeandika historia unanita mbaguzi,au kukuita ww ni mtanganyika ndio kosa,na ile tanganyika law society je nao ni wabaguzi?Acha ubaguzi mkuu, hata ningekuwa mtanganyika bado umesema mimi ni msukuma, read from the line
Sent using Jamii Forums mobile app