Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

Kabudi ni Prof anaedhani kila mhadhara ni kueleza theory za hustoria.. you talking to the world alafu unatumia lugha ya ubabe na iliyokosa diplomasia?
Sishangai maana bado ni mbunge wa viti maalum
Ameshinda ubunge tena bila kupingwa
 
- Media zilitangaza bure kuhusu Corona

- Dawa za kupuliza zilikuwa msaada na baadaye Magufuli alizipiga marufuku tena kwa maneno makali kabisa akisema Corona ni futa hivyo unapopulizia dawa unaua kunguni!

*Nilichogundua na wewe unabahatisha na hauna majibu hivyo bado serikali inatakiwa itujibu pesa zimekwenda wapi?
 
Alipiga marufuku zikiwa zimesha nununuliwa tayari

 
Yaan mpk muda huu najiuliza kuwa huyu kabudi hiyo elimu ya profesa mbona kama haitendei haki mweupe kichwani
Bunge la ulaya linauliza vigezo gani vilitumika kuipatia Tanzania hela wakati wao walisema corona free country nilitegemea majibu yake yangeanzia hapo alichokuja kujibu La Haula yaan kama ingekuwa swali la essay hata mtoto wa form four angejibu vizuri
Sitoaacha kusema elimu sio kuelimika bali ni kupata kazi ili uendeshe maisha yako
Yaan kama maprofesa wenyewe ndio dizaini ya kina Kabudi tumekwisha nina mashaka na uprofesa wake labda tumpe profesa wa jalalani mwenyewe alishasema ametoka jalalani naanza kuamini
 
Walitii masharti ya kutumia fedha hizo kama vile kupima watu korona kila siku na kutangaza matokeo kama alivyokuwa analalamika yule rais wa EU?
Safari hii Kalamaganda Kabugi amebugi vibaya sana maana anaenda kuozea jera
 
Kwani Wazungu walitawala nchi zote za Afrika?
 
Huyu kibudu sijui kama ni mzima!! Mtu uliyeokotwa kwenye mavumbi tangu lini ukawa na heshima? Mtu kila siku unaambiwa mpumbavu halafu unakenua meno, bado una heshima wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kuu kwa Profesa.
Profesa katika Azimio la Arusha iliamuliwa kuwa nguzo kuu za uchumi ziwe chini ya umma na Mwalimu akataifisha mabenki,makampuni,viwanda na hata mashamaba makubwa,what happened?
Mwalimu alivunja uhusiano na Uingereza baada ya I an Simith kufanya unilaterald declarartion na Mwalimu alikuja kutembelea Uingereza 1975,kwa nini Malkia au Waziri Mkuu hakuwa wa kwanza kuja kwetu?
Mwaka 1978/79 tulipigana vita na Uganda na tukashinda,je Profesa pangekuwa na fursa ya kujadiliana bado ungependelea vita kwa kuwa hatujawahi kushindwa?
Profesa,ikiwa nchi yetu ilikuwa na uchumi sawa na Thailand na baadhi ya nchi nyingine za Asia kusini na leo wametupita mara nyingi katika uchumi huoni kuwa misimamo yetu na maamuzi yetu tuliyowahi kufanya yamechangia katika hili?
Profesa,mwekezaji mkubwa toka nje ya Tanzania ni Kenya,kwa nini?
Nimeusilikiliza mjadala wote,walikuwa wanajdilaina wao kwa wao na sidhani kama hata walikuwa na hisia ya kuw atunafuatilia (ili waongeze mbwembwe kama wabunge wetu wanvyocharuka wakiona TV camera),hakuna mahali ambapo wametufokea,wameulizana kuhusu pesa za walip kodi wao,KWA NINI TUNATESEKA?
 
Professor wa jalalani.
 
Mtu akishakuwa mwalimu Kwa muda mrefu anakuwa theoretical sana, Hawa ma Prof perfomance zao sipo chini hawaujui uhalisilia ndo mana Mkwere aliachana nao wendelee kula vumbi la chaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…