Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mmeumbuka sana mbele ya macho ya mataifa duniani.Unasikitisha Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeumbuka sana mbele ya macho ya mataifa duniani.Unasikitisha Aisee
Covid-19 vapour!But this was how we conquered Covid-19.
Ameshinda ubunge tena bila kupingwaKabudi ni Prof anaedhani kila mhadhara ni kueleza theory za hustoria.. you talking to the world alafu unatumia lugha ya ubabe na iliyokosa diplomasia?
Sishangai maana bado ni mbunge wa viti maalum
Akikujibu jihesabu ni mwenye bahatiHivi mlizotumia kwenye kampeni mnaweza kutupa maelezo ni kasi gani na zilitoka wapi?
😂😂😂✌🏾Covid-19 vapour!
Sasa hayo mabillion walikunja ya kufanyia nini?Unataka kupingana na Rais wako aliesimama na kusema wazi wazi kuwa Corona imekimbia baada ya maombi ya siku tatu?!
-Media zilitangaza bure kuhusu Corona
-Dawa za kupuliza zilikuwa msaada na baadaye Magufuli alizipiga marufuku tena kwa maneno makali kabisa akisema Corona ni futa hivyo unapopulizia dawa unaua kunguni!
*Nilichogundua na wewe unabahatisha na hauna majibu hivyo bado serikali inatakiwa itujibu pesa zimekwenda wapi?
Kufidia corona isishushe uchumi wa dunia na nchi mojamojaSasa hayo mabillion walikunja ya kufanyia nini?
Ni ufisadi across borders!Sasa hayo mabillion walikunja ya kufanyia nini?
Walitii masharti ya kutumia fedha hizo kama vile kupima watu korona kila siku na kutangaza matokeo kama alivyokuwa analalamika yule rais wa EU?Kufidia corona isishushe uchumi wa dunia na nchi mojamoja
Safari hii Kalamaganda Kabugi amebugi vibaya sana maana anaenda kuozea jeraWalitii masharti ya kutumia fedha hizo kama vile kupima watu korona kila siku na kutangaza matokeo kama alivyokuwa analalamika yule rais wa EU?
Kwani Wazungu walitawala nchi zote za Afrika?Kwani uongo hawakuchota mali zetu na kupeleka kwao?
Kama walibeba hadi kichwa cha Mkwawa, sembuse madini?
Wamebeba hadi masalia ya mijusi halafu nyie mpo mnakata mauno kuwasifia.
Wana husika sana katika underdevelopment of Africa hao vikaragosi wenu.
Akina Rostam ndio waliotoa msaada,usitufanye hatuna kumbukumbu!Alipiga marufuku zikiwa zimesha nununuliwa tayari
Heshima kuu kwa Profesa.Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.
Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
=========
Prof. Kabudi: Nayasema haya kwa sababu kizazi cha sasa wanadhani hii nchi ndogo, sisi ndio nchi pekee hatujawahi kushindwa vita, hakuna mahali majeshi yetu yalipokwenda yakashindwa vita. Si Zimbabwe, Msumbiji, Comoro, Seychelles, si Uganda na hivi karibuni sio DRC Congo.
Nawahamasisha pia na vyombo vyetu vya habari tujue nini cha kuiambia dunia na watanzania, uchaguzi huu katika bara la Afrika umekuwa tulivu, wa amani.
There is nobody in the world has ever conducted a perfect election, give me one country! There is no country in the world which has conducted a perfect election. Perfect election is only conducted in heaven.
Mataifa yote yanafanya uchaguzi ambao ni huru, haki na wawazi na sisi wa utulivu na amani. Lazima tuiambie dunia hivyo na Taifa hili, nimesema na narudia, halijawahi kupigishwa magoti.
Na si jambo la kukumbusha kila wakati, sipendi, haina maana tunataka kufanya hivyo. Tulivunja uhusiano wa kibalozi na Uingereza mwaka 65 mpaka 72 na Mwalimu hakuvunja tu balozi na Uingereza, aliwarudishia msaada wao wote wa paundi milioni 5 na wakati ule zilikuwa nyingi, aliwarudishia.
Sisi leo watu wakisema vikwazo tu, tunaanza tetemeka nini? Hivi mngekuwa wakati wa Mwalimu! Hivi Tanzania ya 65 ni Tanzania ya leo? Lakini aliona kati ya heshima ya Tanzania na kudhalilishwa, aliwaambia waingireza, tumeshindwa kuelewana katika haya, basi. Ingawa tulibaki kuwa wanachama wa commonwealth.
Wajerumani mwaka 64 walipoanza kumpa masharti mwalimu baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ujerumani mashariki iko Zanzibar, Ujerumani Maghiribi iko Tanzania bara, tukawaambia hapana, hamuwezi kuanza kunipa masharti. Suala la kufunga ubalozi wa Ujerumani Mashariki Zanzibar, si la kuamua mimi, tupeni muda.
Walipomletea kejeli alilihutubia Taifa, aliwafukuza wataalam wote wa kijerumani na aliwarudishia hela yao dochmark milioni 35, sisi leo watu wachache tu wakikaa kuzungumza, ooh tutafanya hivi! tayari watu kwenye mitandao.
Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima ya nchi yetu. Kati ya misaada na utu wetu, tutasimamia utu wetu. Hatutakubali kutoheshimiwa na utu wetu kudharauliwa kwa sababu ya misaada na pesa lakini tutashirikiana na mataifa yote duniani ambayo, moja yatatuheshimu sisi ni Taifa huru na yanatuheshimu sisi ni binadamu tulio sawa na wanadamu wengine wote na tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima yale ambayo wanadhani yamepungua kwetu na yale ambayo tunadhani yamepungua kwao, tuko tayari. We are ready for constructive engagement with those that respect we are sovereign state but who also respect that we are equal and as humans we have our dignity on those matters of principal, we will not compromise.
However we are ready to work with all nations in the world who share our values, sovereignity, equality of nation, human dignity and respect of all human kind and we will never, never allow anyone to use aid or assistance to undermine our sovereignity, NEVER.
That did not happen during the time of Mwalimu, it will never happen now and this is why I distributed this booklet to all staff from mwalimu Nyerere.
Professor wa jalalani.Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.