Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Sizitaki mbichi hizi. Wangekuwa wanajali utu wasingewanyima watu haki zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania wanyonge tu hata wajitutumue, kama Tanzania sio Wanyonge waseme gesi ya Mtwara huwa inaenda wapi?Prof Kabudi kaukataa unyonge!
Uko sahihi kwenye sovereign state....ila lazima tukubali nchi za dunia ya 3 tuna uhuru wa bendera,kucompose our national anthem..........wakikutana ma Rais wa US,Urusi,Comoro,Mauritius,Ufaransa,Zambia,Malawi,Tz siyo level sawa japo zote ni nchi huru....hata kama kutakuwa na red carpet.....21 guns salutes .Tukubali lazima hii ngoma tuicheze vizuriSafi sanaaaaaaaa Prof. Kabudi ni lazima ifikie sehemu watuheshimu na sisi.
TANZANIA IS SOVEREIGN STATE.
Ni kuonyesha kuwa amelipia ada ya degree tatuKuwa Prof sio kigezo cha akili Bali kipimo cha uelewa!!.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Sasa mnaomba hela zao za nini mjomba, mnapangiwa sababu mnaomba mpunga wao, acheni kuomba muone kama watawapangia. Baniani mbaya lakini kiatu chake dawaNendeni mkaishi huko basi,yaani watupangie kila kitu tuwaangalie tuu
Sasa huyu mbona vyote Hana?Kuwa Prof sio kigezo cha akili Bali kipimo cha uelewa!!.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Prof Kabudi ambaye ni waziri mteule wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.
Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Matokeo yake, wananchi walinunua mkate kwa milioni mbili.Hata Zimbabwe walisema hivyo hivyo😊
Ulitaka asemeje?.Prof mzima anaweza taga mayai viza namna hii?
Kauli ngumu wakati una njaa.
Kwanza hao wanatakiwa kutulipa fidia ya unyama waliotufanyia kipindi cha colonization pia sisi tuna resources za kutosha kwahiyo wasituzingueSasa mnaomba hela zao za nini mjomba, mnapangiwa sababu mnaomba mpunga wao, acheni kuomba muone kama watawapangia. Baniani mbaya lakini kiatu chake dawa
Halafu kwanza nani kampa mic Kabudi kuanza kuropoka yale. Wakina Kikwete wanachekea chooni kuona mr mjuaji anavyohangaika na hii nchi.Nyinyi hamjaelewa Kabudi katumwa na bosi wake kutoa hayo majibu , maana hiyo ni akili ya boss wake mzee wa kukurupuka bila kufikiri , yeye wewe anatenda halafu kufikiri ndio kunafuata . Yaani mapimbi ya CCM yana akili za ajabu sana yaani yanajifaragua kwa watu wanaoyasaidia bajeti kwa 45% bila aibu halafu hayana hata kiwanda cha toothpicks , hayana hata cha kutengeneza pini ulungu .Halafu mazao ya biashara including madini mtaenda kuuza wapi nyie mapimbi ? China mwenyewe anapigwa vikwazo na Marekani mpaka analia ije kuwa nyie malofa .
Hicho kibabu Kabudi naona kinazeeka vibaya mno, kinadhani mikwara yake ya hovyo itaisaidia Taifa wakati kanyewe kanakula posho zakeProf Kabudi ambaye ni waziri mteule wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.
Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kabudi ni mzee mpumbavu haijapata kutokea ulimwenguni kote, ngoja waanze nae apigwe vikwazo mpaka achanganyikiweUtu?!
Kutesa, Kuteka, Kubambikia kesi, kupora wapinzani ushindi wao, hayo hayahusishi utu?
Au huyo Prof. hajui maana ya utu.
Anyway bado hajajibu swali, Euro 27m iko wapi?
Uzalendo upi? Huo uzalendo wa kupora haki za wapiga kura ni uzalendo gani?Unataka niwaze kama unavyowaza wewe au?
Watu mmekosa uzalendo mmekuwa wazandiki.