Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

Zimbabwe sio Tanzania wala Mugabe sio Magufuli

Huyu ni waziri anayedili zaidi na diplomasia na ametoa maelezo sahihi na ya kidiplomasia
Wewe ulitaka atoe maelezo gani? Hebu tuwekee hapa ulichotaka Kabudi aongee[emoji16][emoji16][emoji16]

Ni wakati sasa wa hao vibaraka na mabwana zao kuacha mihemko kwa taifa lililo huru

Mungu ibariki Tanzania
Sawa sawa tunategemea Magufuli kurudisha hiyo Euro mil 27 ili kulinda heshima na utu wetu.
 
Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.

Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.

Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
=========

Prof. Kabudi: Nayasema haya kwa sababu kizazi cha sasa wanadhani hii nchi ndogo, sisi ndio nchi pekee hatujawahi kushindwa vita, hakuna mahali majeshi yetu yalipokwenda yakashindwa vita. Si Zimbabwe, Msumbiji, Comoro, Seychelles, si Uganda na hivi karibuni sio DRC Congo.

Nawahamasisha pia na vyombo vyetu vya habari tujue nini cha kuiambia dunia na watanzania, uchaguzi huu katika bara la Afrika umekuwa tulivu, wa amani.

There is nobody in the world has ever conducted a perfect election, give me one country! There is no country in the world which has conducted a perfect election. Perfect election is only conducted in heaven.

Mataifa yote yanafanya uchaguzi ambao ni huru, haki na wawazi na sisi wa utulivu na amani. Lazima tuiambie dunia hivyo na Taifa hili, nimesema na narudia, halijawahi kupigishwa magoti.

Na si jambo la kukumbusha kila wakati, sipendi, haina maana tunataka kufanya hivyo. Tulivunja uhusiano wa kibalozi na Uingereza mwaka 65 mpaka 72 na Mwalimu hakuvunja tu balozi na Uingereza, aliwarudishia msaada wao wote wa paundi milioni 5 na wakati ule zilikuwa nyingi, aliwarudishia.

Sisi leo watu wakisema vikwazo tu, tunaanza tetemeka nini? Hivi mngekuwa wakati wa Mwalimu! Hivi Tanzania ya 65 ni Tanzania ya leo? Lakini aliona kati ya heshima ya Tanzania na kudhalilishwa, aliwaambia waingireza, tumeshindwa kuelewana katika haya, basi. Ingawa tulibaki kuwa wanachama wa commonwealth.

Wajerumani mwaka 64 walipoanza kumpa masharti mwalimu baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ujerumani mashariki iko Zanzibar, Ujerumani Maghiribi iko Tanzania bara, tukawaambia hapana, hamuwezi kuanza kunipa masharti. Suala la kufunga ubalozi wa Ujerumani Mashariki Zanzibar, si la kuamua mimi, tupeni muda.

Walipomletea kejeli alilihutubia Taifa, aliwafukuza wataalam wote wa kijerumani na aliwarudishia hela yao dochmark milioni 35, sisi leo watu wachache tu wakikaa kuzungumza, ooh tutafanya hivi! tayari watu kwenye mitandao.

Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima ya nchi yetu. Kati ya misaada na utu wetu, tutasimamia utu wetu. Hatutakubali kutoheshimiwa na utu wetu kudharauliwa kwa sababu ya misaada na pesa lakini tutashirikiana na mataifa yote duniani ambayo, moja yatatuheshimu sisi ni Taifa huru na yanatuheshimu sisi ni binadamu tulio sawa na wanadamu wengine wote na tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima yale ambayo wanadhani yamepungua kwetu na yale ambayo tunadhani yamepungua kwao, tuko tayari. We are ready for constructive engagement with those that respect we are sovereign state but who also respect that we are equal and as humans we have our dignity on those matters of principal, we will not compromise.

However we are ready to work with all nations in the world who share our values, sovereignity, equality of nation, human dignity and respect of all human kind and we will never, never allow anyone to use aid or assistance to undermine our sovereignity, NEVER.

That did not happen during the time of Mwalimu, it will never happen now and this is why I distributed this booklet to all staff from mwalimu Nyerere.
Anzeni na za covid 19 mrudishe! Si kubwabwaja na mkwanja mmefuja.
 
Unataka niwaze kama unavyowaza wewe au?

Watu mmekosa uzalendo mmekuwa wazandiki.
Kuwa mzalendo ni kutetea serikali hata kama inatoa haja kubwa Kariakoo!!!!?
Bado nina mpango wa kufanya utafiti juu ya ubongo wa wana CCM,kunani!!
 
Fantastic Prof. Together we will survive
 
Kabudi anavyotumbua mimacho kutetea upumbavu hadi anatia huruma maskini
 
Mzee mimi nadhani serikali haina haja yakutoa mipasho yote hii. Kikubwa hizo bilioni 75 za msaada zirudishwe tuepukane na kelele za mabeberu.

Sidhani kama kuna haja yakuendeleza majibizano.

Serikali inafanya kazi yake sawasawa
Nyie waambie hao mabwana waache chokochoko na kuisemea Tanzania mambo ya uongo. Wakiendelea kuongea uongo watajibiwa tuu hamna namna

Na muwaambie hakuna kitakachorudi, waligeuza waafrika wajinga sasa ujinga imeisha.... kwanza wana madeni makubwa sana juu ya mali zetu walizokwapua na wanazoendelea kukwapua, uhai wa watu wetu waliowauwa, mateso na utu wetu

Screenshot_20201118-222615.jpg
 
Utu?!

Kutesa, Kuteka, Kubambikia kesi, kupora wapinzani ushindi wao, hayo hayahusishi utu?

Au huyo Prof. hajui maana ya utu.

Anyway bado hajajibu swali, Euro 27m iko wapi?
Mpinzani gani alishinda akaporwa ushindi? Mtaje.
 
Prof sio wa kumuamini
Yaani nilishangaa sana kuteuluwa ubunge na hatimaye uwaziri.
Kiboko yake ni marehemu Prof. D . Mwaga, Askofu Mstaafu Dr. G. Mpango, Dr. M. Akili na Dr. G. M. Mhogolo.
Aibu yake anaijua pale Dodoma - Area D.
 
Sawa sawa tunategemea Magufuli kurudisha hiyo Euro mil 27 ili kulinda heshima na utu wetu.

Hakirudi kitu sababu bado tunawadai.

compensation from Germany for colonial era atrocities​

By Deji Badmus
February 10, 2017

https://www.facebook.com/sharer.php...ion-from-germany-for-colonial-era-atrocities/
https://twitter.com/intent/tweet?te...-for-colonial-era-atrocities/&via=CGTN+Africa
https://plus.google.com/share?url=h...ion-from-germany-for-colonial-era-atrocities/
https://pinterest.com/pin/create/bu...tion+from+Germany+for+colonial+era+atrocities
TZ

Tanzania will seek compensation for tens of thousands of people who were allegedly starved, tortured and killed by German soldiers as they sought to put down rebellious tribes in the colonial era.
German forces are accused of crimes including starvation following the famous Maji Maji tribal revolt between 1905 and 1907.
Germany was Tanzania’s colonial master from the late 1880s to 1919.
In an interview with DW, Hussein Mwinyi, the Minister of Defense and National Service of Tanzania, said that the government is prepared to ask the German government to compensate those who were affected by the Maji Maji war.
Mwinyi said the Tanzanian government will follow in the example of other African states that have sought compensation from their colonial masters, including Kenya and Namibia.
The minister also said the compensation, if received, would be directed to the families of those who lost their lives during the German colonial era and the surviving victims of the atrocities.

Yaani nilishangaa sana kuteuluwa ubunge na hatimaye uwaziri.
Kiboko yake ni marehemu Prof. D . Mwaga, Askofu Mstaafu Dr. G. Mpango, Dr. M. Akili na Dr. G. M. Mhogolo.
Aibu yake anaijua pale Dodoma - Area D.
Prof. D. Mwaga ilikuaje ? Mwl wangu huyu
 
Wabeba vyuma na wenye pesa ndio wanaongozwa kupandwa. Kwa nini utumie nguvu nyingi kutuaminisha uko sawa. Elton John ana njaa?

hakuna nguvu yoyote,na hakuna ushahidi kwamba wanyanyua vyuma wanaongoza kwa kupandwa.

kila mtu ana shida usikariri umasikini pekee.
 
Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.

Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.

Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema ulikuwa huru na wa haki na dunia nzima imeshangaa maana hatukutumia posta kama wale wengine lakini uchaguzi wetu umefanyika kwa amani kabisa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
=========

Prof. Kabudi: Nayasema haya kwa sababu kizazi cha sasa wanadhani hii nchi ndogo, sisi ndio nchi pekee hatujawahi kushindwa vita, hakuna mahali majeshi yetu yalipokwenda yakashindwa vita. Si Zimbabwe, Msumbiji, Comoro, Seychelles, si Uganda na hivi karibuni sio DRC Congo.

Nawahamasisha pia na vyombo vyetu vya habari tujue nini cha kuiambia dunia na watanzania, uchaguzi huu katika bara la Afrika umekuwa tulivu, wa amani.

There is nobody in the world has ever conducted a perfect election, give me one country! There is no country in the world which has conducted a perfect election. Perfect election is only conducted in heaven.

Mataifa yote yanafanya uchaguzi ambao ni huru, haki na wawazi na sisi wa utulivu na amani. Lazima tuiambie dunia hivyo na Taifa hili, nimesema na narudia, halijawahi kupigishwa magoti.

Na si jambo la kukumbusha kila wakati, sipendi, haina maana tunataka kufanya hivyo. Tulivunja uhusiano wa kibalozi na Uingereza mwaka 65 mpaka 72 na Mwalimu hakuvunja tu balozi na Uingereza, aliwarudishia msaada wao wote wa paundi milioni 5 na wakati ule zilikuwa nyingi, aliwarudishia.

Sisi leo watu wakisema vikwazo tu, tunaanza tetemeka nini? Hivi mngekuwa wakati wa Mwalimu! Hivi Tanzania ya 65 ni Tanzania ya leo? Lakini aliona kati ya heshima ya Tanzania na kudhalilishwa, aliwaambia waingireza, tumeshindwa kuelewana katika haya, basi. Ingawa tulibaki kuwa wanachama wa commonwealth.

Wajerumani mwaka 64 walipoanza kumpa masharti mwalimu baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ujerumani mashariki iko Zanzibar, Ujerumani Maghiribi iko Tanzania bara, tukawaambia hapana, hamuwezi kuanza kunipa masharti. Suala la kufunga ubalozi wa Ujerumani Mashariki Zanzibar, si la kuamua mimi, tupeni muda.

Walipomletea kejeli alilihutubia Taifa, aliwafukuza wataalam wote wa kijerumani na aliwarudishia hela yao dochmark milioni 35, sisi leo watu wachache tu wakikaa kuzungumza, ooh tutafanya hivi! tayari watu kwenye mitandao.

Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima ya nchi yetu. Kati ya misaada na utu wetu, tutasimamia utu wetu. Hatutakubali kutoheshimiwa na utu wetu kudharauliwa kwa sababu ya misaada na pesa lakini tutashirikiana na mataifa yote duniani ambayo, moja yatatuheshimu sisi ni Taifa huru na yanatuheshimu sisi ni binadamu tulio sawa na wanadamu wengine wote na tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima yale ambayo wanadhani yamepungua kwetu na yale ambayo tunadhani yamepungua kwao, tuko tayari. We are ready for constructive engagement with those that respect we are sovereign state but who also respect that we are equal and as humans we have our dignity on those matters of principal, we will not compromise.

However we are ready to work with all nations in the world who share our values, sovereignity, equality of nation, human dignity and respect of all human kind and we will never, never allow anyone to use aid or assistance to undermine our sovereignity, NEVER.

That did not happen during the time of Mwalimu, it will never happen now and this is why I distributed this booklet to all staff from mwalimu Nyerere.
Kwa nini tulichukua hela zao..?....Kuwa mkali haisaidii
 
Back
Top Bottom