Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Hoja hapa wazungu wanachotaka kujua pesa imetumikaje lakini inashangaza mtu mzima tena msomi anavyowajibu wahisani wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuwa na akili za ki broiler, hii nchi ina heshima yakeHivi Tanzania ina heshima gani’b toka kwa nani?! Maskini huwa hana heshima duniani.
Inaonekana unateseka sana,na bado!Tutaendeleza dozi bila kikomo mpaka mtapike nyongo kabisa,shwain😁😁!Ivi kwnn unashadadia pesa usizojijua zilipatikanaje kwa hao Wazungu?
Ivi unajua zilikuwa na mlengo gani kwa nchi maskini?
Alafu sie hatukuwaomba hizo pesa na walizitoa wakijua kabisa sisi corona haipo na kipindi wanazitoa tulikuwa tayari tusharudi kwenye maisha yetu ya kawaida,
Naona CHADEMA mnashikilia kinoma ili shoga yenu aweze kusamehewa na Mabeberu kwa ahadi feki alizowahakikishia hao waliomtuma kuja kugombea kuwa baada ya kupata dola atawapa MADINI yetu 😂😂, ila bahati mbaya watanzania walimstukia 😂😂, kajaribu kuitisha MAANDAMANO nayo yamefeli😂😂, sasa karudi kuwapanga mabwana zake 😂😂,
Endeleeeni kushangiliaa UFIPA na mtaaibika kawa kawaida yenu maana aibu ni kwenu kila mara
Refer kwa babu wa ndege napo mlishangilia weee, lkn mwishowe mlipata aibu kama zotee😂😂,
CHADEMA ni loser kweli kweli,
Jifunzeni kuwa Wazalendo wa nchi yenu labda ndipo mnaweza kuhurumiwa na CCM ikawakabidhi nchi ijapo sidhani mtaongoza ata kwa miaka 10 ivi.
Nyambafu sana nyie UFIPA🤔
Kufidia uchumi ambao ungeumia au sio kamanda.Kwahiyo mliomba fedha kufidia gharama mlizokuwa mmetumia?
Cha ajabu halafu Tanzania ndio juzi juzi hapa ilikuwa inashauri tunao waita mabeberu wawaondelee vikwazo vya kiuchumi Zimbabwe!!Hata Zimbabwe walisema hivyo hivyo😊
But this was how we conquered Covid-19.Unasikitisha Aisee
Hivi mlizotumia kwenye kampeni mnaweza kutupa maelezo ni kasi gani na zilitoka wapi?Kufidia uchumi ambao ungeumia au sio kamanda
Unataka kupingana na Rais wako aliesimama na kusema wazi wazi kuwa Corona imekimbia baada ya maombi ya siku tatu?!Unasikitisha Aisee
Hivi mlizotumia kwenye kampeni mnaweza kutupa maelezo ni kasi gani na zilitoka wapi?
Unataka kupingana na Rais wako aliesimama na kusema wazi wazi kuwa Corona imekimbia baada ya maombi ya siku tatu?!
Mtu kaokotwa jalalani alafu umtegemee awe na maajabu yapi?Kabudi yupo shallow sana
Kwani kwenda Madagascar unafikiri ni kiasi gani?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo mliomba fedha kufidia gharama mlizokuwa mmetumia?