Prof. Kabudi kumrithi Magufuli 2025?

Prof. Kabudi kumrithi Magufuli 2025?

Yesu alizaliwa kwenye hall la ngombe lakini leo hii ndo mtu tunaye muomba kupitia kwake kwa ajili ya kuona ufalume wa mbigu kwa wale sisi Wenye iman ya kikristu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii thread ni Political Speculations tu.

Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.

Time will tell.....
Kazi Ya MUNGU haina makosa na Mungu si athumani

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hii thread ni Political Speculations tu.

Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.

Time will tell.....
😂😂
 
Herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of fear,in this case because of the fear of their leaders
 
Kabudi hawez kuja kuwa rais nchi hii... Anaebisha aje mikocheni nimpe listi ya wanaopendekezwa kutawala miaka 30 ijayo
 
Mzee wa jalalaji hasikiki kabisa siku hizi! That time, ungeweza kufukiri ndiye 'makamo Rais'!
 
Hii thread ni Political Speculations tu.

Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.

Time will tell.....
Utampigiq kura wewe na mumeo
 
The prophecy that won't come to pass as Magufuli, "The purpoted king 👑 maker" is in limbo, a development that has left the once Magufuli's boot licker as a spent force.
 
Back
Top Bottom