boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
January makamba ndo Rais baada ya Mgaufuri kijana smart japokua anamapungufu ya kibinadamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
According to my inner source, Rais ajaye anatoka ukanda wa Pwani na yumo ndani ya baraza la mawaziri na by the time atakuwa na not more than 52 years
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa soda kwa bili yanguWatawala wa JMT waliotangulia hakuna aliyewahi kufanikiwa mteule wake kuwa Rais, ikitokea itakuwa mara ya kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi Ya MUNGU haina makosa na Mungu si athumaniHii thread ni Political Speculations tu.
Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.
Time will tell.....
😂😂Hii thread ni Political Speculations tu.
Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.
Time will tell.....
Herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of fear,in this case because of the fear of their leadersHii thread ni Political Speculations tu.
Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.
Time will tell.....
Kwanza ameshakuwa mzee. Wala haihitaji mtu kuja itvKabudi hawez kuja kuwa rais nchi hii... Anaebisha aje mikocheni nimpe listi ya wanaopendekezwa kutawala miaka 30 ijayo
Yap, tupate mtu ambaye wakati anashida madaraka ya urais awe wa kuanzia miaka 50 lakini asizidi 60 (maoni yangu tu).Kwanza ameshakuwa mzee. Wala haihitaji mtu kuja itv
Utampigiq kura wewe na mumeoHii thread ni Political Speculations tu.