Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Kwani Kabudi mwenyewe anasemaje?Hii thread ni Political Speculations tu.
Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.
Time will tell.....