Prof. Kabudi kumrithi Magufuli 2025?

Prof. Kabudi kumrithi Magufuli 2025?

Hii thread ni Political Speculations tu.

Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.

Time will tell.....
Kwani Kabudi mwenyewe anasemaje?
 
Hii thread ni Political Speculations tu.

Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof anaonekana kuwa loyal sana kwa Magufuli na anaonekana kuwa mzalendo kama anavyotambulishwa.

Time will tell.....
Magufuli kafa
 
Ulikua inevitably bangi ya wapi
 
Yaani Rais Mwinyi alikuwepo na ndo alitakiwa achukue Jiwe angekuwa hai Kabudi is a shame
 
Aliyeleta hii mada afadhali uifute tu maanake haina maana tena, huyo Kabudi wako ni "Spent Force" sidhani kama hata kule jalalani anaweza kurudi.
 
Back
Top Bottom