Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

Wamepigwa bit wasitangaze kama dawa!!..
WHO na CDC si vitu vya kuchezachezea utake usitake.....

Hawa ndiyo wenye dhamana ya afya ya Dunia mzima.
 
Yaani Kweli sasa mmechanganyikiwa, Kabudi kunywa iyo dawa mnakasirika !! Yaani mmefungua mbaka mjadala !! Kwa kweli chuki ni kitu kibaya sana inamfanya mtu akose amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais alisema atatuma ndege kufuata dawa Madagascar.

Ndege ikaenda Madagascar.

Akaonekana mmoja anakunywa hiyo dawa.

Kisha akasema Madagascar hakufuata dawa.

Hakuna wa kumuuliza alifuata nini?
 
Kumbuka Jpm alisema anatuma ndege Madascar kufuata dawa ya Corona,Sasa msikie huyu
 
Yaani Kweli sasa mmechanganyikiwa, Kabudi kunywa iyo dawa mnakasirika !! Yaani mmefungua mbaka mjadala !! Kwa kweli chuki ni kitu kibaya sana inamfanya mtu akose amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni mjinga, hushtuki Waziri kunywa sample ya dawa anayosema haija dhibitishwa kuwa inamadhara gani kwa binadamu?
Ujinga unafanya usione mantiki ya hoja hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee chakaza umetuchekesha mnooooo mkuu.
 
Kama kawaida lawama zote kwa Jonijo.
 
Data hizi ni walizotangaza wao wenyewe?

Kama ni hivyo sisi ndiyo wenye dawa. Waje wao kuchukua dawa kwetu kwa maana sisi tuko vizuri kuliko wao, kwa maana tangia Apr 29 hadi leo hapa kwetu:

1. Maambukizi mapya hamna
2. Vifo hamna...
Wao hakuna aliyekufa utasemaje tuko vizuri wakati sisi mpaka sasa vifo ni 21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…