Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wao ndo wanakufa sana na wanastahili kuanzia kunywa wao ili nchi iwe salama kwani tunawategemea wao katika mustakabali wa nchiHii ni kwa ajili ya wakubwa tuu
Huyu Kinjekitire wenu anatapatapa tuIpo.
Serikali yenyewe kupitia NIMR imetengeneza dawa ya mitishamba!
We ni mjinga, hushtuki Waziri kunywa sample ya dawa anayosema haija dhibitishwa kuwa inamadhara gani kwa binadamu?Yaani Kweli sasa mmechanganyikiwa, Kabudi kunywa iyo dawa mnakasirika !! Yaani mmefungua mbaka mjadala !! Kwa kweli chuki ni kitu kibaya sana inamfanya mtu akose amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimeletwa za watu muhimu mkuu ile kamati nzima ya kichawiKumbuka Jpm alisema anatuma ndege Madascar kufuata dawa ya Corona,Sasa msikie huyuView attachment 1444786View attachment 1444789
Ili uamini dawa inaponya unataka uone niniMbona uganda hakuna kifo na hiyo dawa hawajaitumia au unataka kumaanisha nini hapa?funguka zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida lawama zote kwa Jonijo.Hapa kwetu ndio kuna mambo ya ajabu huwezi kuyaona katika ulimwengu wote labda ulimwengu wa Roho.
Dawa anayotuambia kuwa imeletwa karibu tani nzima kama SAMPLE ili ipelekwe maabara kwa uchunguzi ameamua kwa hiari yake bila kulazimishwa na mtu kuinywa chupa nzima.
Huyu sio mwingine bali ni Waziri wa mambo ya Nje, Msomi wa kiwango cha Profesa wa sheria na mshauri wa karibu wa Rais.
Jee hii sio hatari kwa dawa ambayo bado ni sample kuinywa? Na kama kainywa Waziri nini kitazuia wengine kuidokoa kunywa hapo NIMRI ikiwa inasubiri kufanyiwa kazi?
Iwapo itakuwa haifai na inahatarisha Afya lawama tumlaumu nani? Aliyemtuma kwenda Madagascar au yeye mwenyewe kwa kuonja chupa nzima bila ruhusa ya aliyemtuma?View attachment 1444734
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa sababu unasikia wanatangazwaNa wao ndo wanakufa sana na wanastahili kuanzia kunywa wao ili nchi iwe salama kwani tunawategemea wao katika mustakabali wa nchi
Wao hakuna aliyekufa utasemaje tuko vizuri wakati sisi mpaka sasa vifo ni 21Data hizi ni walizotangaza wao wenyewe?
Kama ni hivyo sisi ndiyo wenye dawa. Waje wao kuchukua dawa kwetu kwa maana sisi tuko vizuri kuliko wao, kwa maana tangia Apr 29 hadi leo hapa kwetu:
1. Maambukizi mapya hamna
2. Vifo hamna...
Kile kikombe cha babu wa loliondo watu waliacha dawa nyingine (hasa Wenye hiv) mwishowe walipukutika kama kuku.Je, kama Ina madhara? Huoni kwamba Taifa litapoteza Viongozi wake kwa UZEMBE?
🤣🤣🤣🤣🤣Kwenye hii serikali kuna (wa)mchawi