Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Yeye mbona amekunywa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanzo mzuri wa kutuma ndege kufata chupa 2?Mwanzo mzuri serikali yangu pendwa.! Endeleeni kuchapa kazi. Na Tahadhari tunaendelea kuchukua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona uganda hakuna kifo na hiyo dawa hawajaitumia au unataka kumaanisha nini hapa?funguka zaidiMadagascar .
Visa 193.
Wamepona 101.
Mahututi 1.
VIFO 0.000000%
Wagonjwa waliobakia 92
Mwenye macho haambiwi ONA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wamechukua Box 13 tu kwa ajili ya watu wa "CHATTLE".
Nilisema mimi, amekunywa dawa za mwenye dawa zake akidhani ni Vimto. Ina sasa kama zililetwa kwa ajili ya utafiti ilikuwaje yeye akafungua chupa na kuanza kuinywa hadharani?
Hivi hawa majamaa yameshawaoneni kwamba watanzania ni maamuma sana au?
Mambo Sungura & Fisi!!!
Sungura Alikuwa Anakula Karanga Walizopewa Wale Na Fisi.
Kila Fisi Akitaka Kula Sungura Anasema Zina Sumu Ukila Wewe Utakufa
Njaa Mbaya Sana Ilipozidi Fisi Akasema Potelea Pwete Acha Ituue Akala Karanga Hakufa