Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

Kwa hili ni mapema kumhukumu prof. Ila tukumbuke Prof huyu huyu:

1. Ndio alileta mkenya feki kununua korosho kwa mbwembwe nyingi.

2. Prof. Huyu huyu ndio alimhoji balozi kwa nini nchi yake imeshikilia ndege yetu.
Yako mengi aliyofanya profesa.
 
Sasa huo utafiti unafnywa kwa viongozi na sio sample ya wananchi? Hiyo "SHEHENA" ya Box 13 imeenda Chato.
 
Attachments

  • IMG_20200509_093424.jpg
    IMG_20200509_093424.jpg
    40.4 KB · Views: 2
Naibu waziri wa afya, nilitarajia aseme kitu kuhusu ujio wa hiyo dawa. Sasa anayeongelea hiyo dawa ni mwanasheria Tena mwanasisa. Sasa tumsikilize na nchi hii ili tupone hiyo corona.
 
Madagascar .
Visa 193.
Wamepona 101.
Mahututi 1...

Data hizi ni walizotangaza wao wenyewe?

Kama ni hivyo sisi ndiyo wenye dawa. Waje wao kuchukua dawa kwetu kwa maana sisi tuko vizuri kuliko wao, kwa maana tangia Apr 29 hadi leo hapa kwetu:

1. Maambukizi mapya hamna
2. Vifo hamna

Wagonjwa wetu wanapona tu. Bila shaka wagonjwa waliobakia wanaelekea kwenye zero.

Mambo ni zero zero tu!

Hapo gengeni chapa kazi mkuu, tuko vizuri kuliko wote!

Mwenye macho haambiwi usione.
 
Itapendeza kujua gharama ya safari hii na tija ya hii dawa.

Babu na kikombe chake alianza kwa kasi zaidi ya hii dawa. Muda ulipofika akaingia mitini kimya kimya.

Tunawaombeeni isiwe hivyo.
 
Wewe utakuwa unaisha zebaki .
UKIACHA KINARA WETU HAPO MKENYA AKIWA NAFASI YA KWANZA KWA MARINGO KABISA TUNAOFATA NI SISI KWA EAST AFRICA
Data hizi ni walizotangaza wao wenyewe?

Kama ni hivyo sisi ndiyo wenye dawa. Waje wao kuchukua dawa kwetu kwa maana sisi tuko vizuri kuliko wao, kwa maana tangia Apr 29 hadi leo hapa kwetu:

1. Maambukizi mapya hamna
2. Vifo hamna

Wagonjwa wetu wanapona tu. Bila shaka wagonjwa waliobakia wanaelekea kwenye zero.

Mambo ni zero zero tu!

Hapo gengeni chapa kazi mkuu, tuko vizuri kuliko wote!

Mwenye macho haambiwi usione.
Screenshot_20200509-133226.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu wamekusudia kutuficha hapa, ndege haiwezi kufuata chupa mbili na picha zikapigwa hadharani... itakuwa wamegundua haipatikani kwa wingi hivyo wameona wajigawie wachache.
 
Back
Top Bottom