Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

ni sahihi kwa wataalam.wa bongo kuifanyia utafiti na kama wakiona inafaa ndo waanze kuiruhusu itumike sizani km sahihi kuiamini madagasca moja kw moja bora wajilizishe kwanza ....
 
Mambo Ya Sungura & Fisi!!!
Sungura Alikuwa Anakula Karanga Walizopewa Wale Na Fisi.
Kila Fisi Akitaka Kula Sungura Anasema Zina Sumu Ukila Wewe Utakufa

Njaa Mbaya Sana Ilipozidi Fisi Akasema Potelea Pwete Acha Ituue Akala Karanga Hakufa
 
Usitake kupotosha watu kwa kutaka kugeuza maana ya alichomaanisha waziri, acha ajenda za kijinga, ovyo kabisa!

Kuwa mtulivu bila jazba, tuambie waziri alimaanisha nini.?
 
Mleta mada kaamka na STRESS 100%, tulia mkuu, utakufa kwa pressure kabla hata COVID-19 haikakufikia
 
Zilongwa Mbali Zitendwa Mbali
πŸ™„πŸ˜πŸ€”πŸ˜ΆπŸ€¨πŸ˜‘
 
Fanya ibada, vaa barakoa, nawa mikono na epuka mikusanyiko.

Tujikinge na tuwalinde wenzetu.
 
Amekunywa ni kosa , kama asingekunywa uneleta hoja kuwa kaleta sumu kwa watanzania.

Mamijitu mengine kila saa yanafikira hasi tu juu ya wnzao
Nilisema mimi, amekunywa dawa za mwenye dawa zake akidhani ni Vimto. Ina sasa kama zililetwa kwa ajili ya utafiti ilikuwaje yeye akafungua chupa na kuanza kuinywa hadharani?

Hivi hawa majamaa yameshawaoneni kwamba watanzania ni maamuma sana au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo Sungura & Fisi!!!
Sungura Alikuwa Anakula Karanga Walizopewa Wale Na Fisi.
Kila Fisi Akitaka Kula Sungura Anasema Zina Sumu Ukila Wewe Utakufa

Njaa Mbaya Sana Ilipozidi Fisi Akasema Potelea Pwete Acha Ituue Akala Karanga Hakufa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaaaazzzz kwel kwel. Awamu Hii ni sheeedah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…