Huna hoja za kujibu ninacho comment, ni bora upite kimya tu. Eti za Majaribio, yaani mnajaribu boksi 13.Amekunywa ni kosa , kama asingekunywa uneleta hoja kuwa kaleta sumu kwa watanzania.
Mamijitu mengine kila saa yanafikira hasi tu juu ya wnzao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona uganda hakuna kifo na hiyo dawa hawajaitumia au unataka kumaanisha nini hapa?funguka zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
kwann mnakazania kumuelew wazir tu vp kuhusu wale ma prof na ma dr nao hamjawaelewa au ndo kubishana tuuuKuwa mtulivu bila jazba, tuambie waziri alimaanisha nini.?
😁😁Wewe Chadema kula kulala usinitishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bongo atakayekata mauno kama Kange atajipatia kikombe cha juisi ya kovidi [emoji28][emoji28][emoji28]
Madagascar .
Visa 193.
Wamepona 101.
Mahututi 1...
wengine wameonekana kwenye picha wanakunywa ila wanasema hadi ifanyiwe tafiti ndio wengine wapewe
isije kuwa janja janja wanaogopa itaisha box chache wanabana ili wanywe wenyewe tu na familia zao
Utafiti ndo huu?ni sahihi kwa wataalam.wa bongo kuifanyia utafiti na kama wakiona inafaa ndo waanze kuiruhusu itumike sizani km sahihi kuiamini madagasca moja kw moja bora wajilizishe kwanza ....
Data hizi ni walizotangaza wao wenyewe?
Kama ni hivyo sisi ndiyo wenye dawa. Waje wao kuchukua dawa kwetu kwa maana sisi tuko vizuri kuliko wao, kwa maana tangia Apr 29 hadi leo hapa kwetu:
1. Maambukizi mapya hamna
2. Vifo hamna
Wagonjwa wetu wanapona tu. Bila shaka wagonjwa waliobakia wanaelekea kwenye zero.
Mambo ni zero zero tu!
Hapo gengeni chapa kazi mkuu, tuko vizuri kuliko wote!
Mwenye macho haambiwi usione.
mambo hayo yeye amejitoa muhanga kwa ajili ya raisi na raia wote. hahahahhaKama utafiti haujafanyika aliwezaje kunywa tena hadharani.?