Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

Nilisema mimi, amekunywa dawa za mwenye dawa zake akidhani ni Vimto. Ila sasa kama zililetwa kwa ajili ya utafiti ilikuwaje yeye akafungua chupa na kuanza kuinywa hadharani?

Hivi hawa majamaa yameshawaoneni kwamba watanzania ni maamuma sana au?
Naomba video au picha akiwa anakunywa.
 
Wewe Kabudi mbona umekunywa alafu wagonjwa ndio hadi wasubiri utafiti
Kauli na matendo yake vinapingana. Inawezekana ililetwa kwa ajili ya mtu mmoja sasa ikabidi ioneshwe kwamba imeletwa kwa ajili ya watu wengi. Yaani yeye anakunywa ila watanzania wenzake ndio wasubiri uchunguzi!!??

Bora angeachwa kule kule jalalani!!
 

Yani ni vituko sana hawa binadamu wenzetu..ukiona hivyo ujue hiyo kitu watakunywa viongozi wenyewe akiwemo aliyemtuma aifate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…