Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

Kwamba hiyo dawa ni kwa ajiri ya viongozi tu? Au uelewa wangu ni mdogo?
 
Yawekana ame tumia kitu cha jamaica

sijui itakuaje
 
Wame boresha vifungashio tu au sio

sijui itakuaje
 
Halafu utafiti wa kuonyesha inaponyesha anafanya nani?!
Na hizo dawa zingine hufuatwa na ndege ya rais?!
Huu ni ujinga mtupu. Dawa tunazoletewa hazipimwi ni uongo unatujaza, wewe uko serikali gani?!
Kama hujui fanya utafiti, usipinge ukweli kwa uongo, mie najua hili toka nilipokuwa shule ya msingi, siajabu ulikuwa hujazaliwa wakati TZ inahalalisha dawa za asili.
 
🤣 🤣 🤣 mwanzo mzuri wa kufanyaje??

Hii nji ni kama inaongoxwa na majuha fulani hivi..!!Ati "mwanzo mzuri"? Kwenda kuchukua dawa ambazo HAZIJA THIBITISHWA NA WHO au CDC unasema Ni mwanzo mzuri?
Kama Pro-fedha Kabudi anasema mpaka waifanyie utafiti MBONA YEYE KESHAIGONGA/KAINYWA?Au tayari ana virusi?Alijuaje UBORA WAKE bila kupima kwanza?
Natilia shaka Sana hii kitu.....yawezekana Hawa jamaa wameenda kutalii tu! Hebu tuwape muda tuone......isije wakaanza kuwapa Mbuzi,Kondoo na Kwale ndipo wapime waone kama watapona Covid-19...😂😂
 
Nijuavyo mimi msemaji wa maswala ya tiba na dawa kisekta ni waziri wa afya au Naibu wake wakisaidiwa na wataalamu wa wizara.

Lakini kwa hii dawa mpya ya Covid 19 kutoka Madagascar nimeshangaa kuona msemaji wake mkuu ni Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje, hapo ndio ninapoomba maana Ummy Mwalimu yupo na anadunda kama kawa.

Hii imekaaje wadau?

Maendeleo hayana vyama!
Ile Ni mitishamba si dawa Wala kwenye mwongozo wa wizara ya afya hakuna ujinga ule.
 
Awamu ya tano mambo utawala wa kisheria, utawala bora na protokali havina nafasi kila mtu anajifanyia kivyake anavyojua.

Jana nimejiuliza kwa nn bajeti ya wizara ya ujenzi iwasilishwe na Jenista na si naibu wa wizara hyo kama waziri kapata dhalula.

Jibu ni awamu ya tano
 
Nijuavyo mimi msemaji wa maswala ya tiba na dawa kisekta ni waziri wa afya au Naibu wake wakisaidiwa na wataalamu wa wizara...
Bwashee umesikia hiyo dawa kule Madagascar anagawa Rais peke yake? Huenda kapewa masharti hayo
 
Una maana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
.
1589027548_1589027548-picsay.jpg
 
Si ndo aliyeifuata...Anajua alichoambiwa.
Kwa nini aifuate yeye? Añgekwenda naibu waziri ambaye ni mtaalamu wa tiba. Au basi kama ni suala la tiba mbadala angeenda Musukuma Kalimanzira.

Propesa anasema dawa ifanyiwe utafiti kwanza! Sasa hiyo ni dawa? Rajoelina anaomba WHO waithibitishe. Simbilisi wamepatikana katika nchi nyingine 4 za Afrika na Tanzania ikiwemo!
 
Back
Top Bottom