MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
Kwamba hiyo dawa ni kwa ajiri ya viongozi tu? Au uelewa wangu ni mdogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe!Si ndo aliyeifuata...Anajua alichoambiwa.
Kama hujui fanya utafiti, usipinge ukweli kwa uongo, mie najua hili toka nilipokuwa shule ya msingi, siajabu ulikuwa hujazaliwa wakati TZ inahalalisha dawa za asili.Halafu utafiti wa kuonyesha inaponyesha anafanya nani?!
Na hizo dawa zingine hufuatwa na ndege ya rais?!
Huu ni ujinga mtupu. Dawa tunazoletewa hazipimwi ni uongo unatujaza, wewe uko serikali gani?!
Ujinga upi mkuuUnaweza kushangaa inawezekanaje profesa kufanya ujinga kama huu ila ni wa kuonea huruma tu kwa sababu kufanya kazi na psychiatric president siyo kazi rahisiView attachment 1444696
🤣 🤣 🤣 mwanzo mzuri wa kufanyaje??
Ile Ni mitishamba si dawa Wala kwenye mwongozo wa wizara ya afya hakuna ujinga ule.Nijuavyo mimi msemaji wa maswala ya tiba na dawa kisekta ni waziri wa afya au Naibu wake wakisaidiwa na wataalamu wa wizara.
Lakini kwa hii dawa mpya ya Covid 19 kutoka Madagascar nimeshangaa kuona msemaji wake mkuu ni Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje, hapo ndio ninapoomba maana Ummy Mwalimu yupo na anadunda kama kawa.
Hii imekaaje wadau?
Maendeleo hayana vyama!
Hapo wizara husika itachukua nafasi yakeKumbe!
So atasimamia na utafiti kama inafaa au la?
Bwashee umesikia hiyo dawa kule Madagascar anagawa Rais peke yake? Huenda kapewa masharti hayoNijuavyo mimi msemaji wa maswala ya tiba na dawa kisekta ni waziri wa afya au Naibu wake wakisaidiwa na wataalamu wa wizara...
Serikali inatambua mitishamba hata Muhimbili kuna idara ya tiba za mitishamba!Ile Ni mitishamba si dawa Wala kwenye mwongozo wa wizara ya afya hakuna ujinga ule.
.
wa kuzidi kufanywa majuha😂.
hizo sample zilishindwa kutumwa kama parcel tu mpaka kupelekea ndege nzima ya raisi kwenda Madagascar
Ila kwenye mwongozo uliotolewa na wizara ya Afya kuhusu corona,hiyo miti shamba hamnaSerikali inatambua mitishamba hata Muhimbili kuna idara ya tiba za mitishamba!
Kwa nini aifuate yeye? Añgekwenda naibu waziri ambaye ni mtaalamu wa tiba. Au basi kama ni suala la tiba mbadala angeenda Musukuma Kalimanzira.Si ndo aliyeifuata...Anajua alichoambiwa.