MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Watagawana yote mtz wewe na mm ukiugua tafuta njia ya kujiokoa, jiwe hahawai kufikiria uhai wa RAIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ya pilipili kichaa sioIpo.
Serikali yenyewe kupitia NIMR imetengeneza dawa ya mitishamba!
The Guys are obviously desperate and stressed.He took the whole bottle of it?Imagine if every one is gonna drink like he did,we may need about 50 million bottles.Nijuavyo mimi msemaji wa maswala ya tiba na dawa kisekta ni waziri wa afya au Naibu wake wakisaidiwa na wataalamu wa wizara...
Msemaji wa serikali na dawa wapi na wapi?Nijuavyo mimi msemaji wa maswala ya tiba na dawa kisekta ni waziri wa afya au Naibu wake wakisaidiwa na wataalamu wa wizara...
Mbona hata kina jafo wanazungumzia nyungu, sasa hii nyungu ina upekee gani au sababu imepanda ndege?Nijuavyo mimi msemaji wa maswala ya tiba na dawa kisekta ni waziri wa afya au Naibu wake wakisaidiwa na wataalamu wa wizara.
Lakini kwa hii dawa mpya ya Covid 19 kutoka Madagascar nimeshangaa kuona msemaji wake mkuu ni Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje, hapo ndio ninapoomba maana Ummy Mwalimu yupo na anadunda kama kawa.
Hii imekaaje wadau?
Maendeleo hayana vyama!
Huyu alishakuwa nao, kanusurika ivyo anahisi utamrudia tena.Hapa kwetu ndio kuna mambo ya ajabu huwezi kuyaona katika ulimwengu wote labda ulimwengu wa Roho.
Dawa anayotuambia kuwa imeletwa karibu tani nzima kama SAMPLE ili ipelekwe maabara kwa uchunguzi ameamua kwa hiari yake bila kulazimishwa na mtu kuinywa chupa nzima.
Huyu sio mwingine bali ni Waziri wa mambo ya Nje, Msomi wa kiwango cha Profesa wa sheria na mshauri wa karibu wa Rais...
Bwashee kwa kawaida baadhi ya dawa za mitishamba zinakuwa na masharti magumu unayo pewa na mganga. Anae kwenda kwa mganga ndie anae pewa masharti hayo, kwa hiyo ni vigumu sana kusikia mtu amemfundisha mwingine masharti aliyo pewa na mganga. Ndio naamini kwamba Kabudi ndie waziri wa mambo ya nje ya nchi, lakini linapokuja suala zima la kuhusu tiba ni lazima wataalamu washirikishwe kwa kuwa ndio wenye taaluma na dhamana juu ya afya za binadamu.Nijuavyo mimi msemaji wa maswala ya tiba na dawa kisekta ni waziri wa afya au Naibu wake wakisaidiwa na wataalamu wa wizara...
Madagascar wametuletea juisi ya Sippy.Unaweza kushangaa inawezekanaje profesa kufanya ujinga kama huu ila ni wa kuonea huruma tu kwa sababu kufanya kazi na psychiatric president siyo kazi rahisiView attachment 1444696
Wakati wa kampeni zijazo tuna maswali mengi ambayo atatakiwa ayajibu. Kwasasa muache ajidai kisa......Watagawana yote mtz wewe na mm ukiugua tafuta njia ya kujiokoa, jiwe hahawai kufikiria uhai wa RAIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kufanya utafiti ili kupata dawa itakayofanya kazi kwa ufanisi🤣 🤣 🤣 mwanzo mzuri wa kufanyaje??
Wao hakuna aliyekufa utasemaje tuko vizuri wakati sisi mpaka sasa vifo ni 21