The Iron
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 1,396
- 1,464
😂😂😂😂......Utafiti kabla ya kutumia, Sasa yeye mbona Alisha tumia?“Dawa hii tumepewa na Madagascar ili tuje tuifanyie utafiti kabla ya kuitumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂......Utafiti kabla ya kutumia, Sasa yeye mbona Alisha tumia?“Dawa hii tumepewa na Madagascar ili tuje tuifanyie utafiti kabla ya kuitumia
mwanzo mzuri wa kutuma ndege kufata chupa 2 ??
Sampuli tu unatuma ndege, mbona ni matumizi mabaya ya pesa za watanzaniaJuzi Kabudi aliiongoza ujumbe uliofuata dawa nchini Madagascar kwa ndege yetu. Inasemekana zimeletwa maboksi 13 zikiwemo dawa za aina mbili. Hapo hapo tukaonyeshwa akijaribisha kwa kunywa na pale tukaona chupa mbili. Jana ameongea na vyombo vya habari na pia tukaonyeshwa walioshiriki akiwemo Mganga Mkuu wa Serikali.
Swali langu: Ni hii sintofahamu juu ya ushiriki wake 190% katika zoezi. Sikuwasikia mawaziri wa wizara hii ya afya. Nikawa najiuliza kuwa dawa ikifuatwa nje ya nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ndiyo inahusika na haiko chini ya Wizara ya Afya.
Pengine kwa hili Kabudi anisamehe, sijatambua vizuri nafasi yake kwenye masuala ya afya. Na kubwa kumbe haijawa dawa kama tulivyosikia kuwa ndege imefuata dawa, kumbe ni sampuli ya kufanyia utafiti.
Nimeshindwa kuelewa, nielekezeni huyu Kabudi anakotupeleka. Hii ni mara yake ya pili kuona akituaminisha kitu baada ya sakata la makinikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Kuna vijing'ombe vinataka Bujibuji niwe serious.Kabudi mwenyewe alikuwa hana uhakika wa kupata ya kunywa akanywa kabisa...
Sisi ni Taifa la masihara ..kila kona
Kabudi ndiyo kasema amekuja na chupa 2 tu.
hata mm sijui alikuwa mwalimu mzuri kweli huyunimsikiliza namwelewa ila anapomaliza kuoongea tuu..NASAHAU yote 🤣 🤣