Prof Kabudi: Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika kuhusu kifo cha Sokoine kwamba Nyerere alihusika au alifaidika na kifo hicho

Siku hiyo nilikuwa natafuna hamburger tukiwa na Mkenya mmoja pale Metropole,Arusha akasisitiza bila ushahidi kuwa haya ni mauji kama ya Tom Mboya huko kwao.
Juhudi zangu zote za kukanusha zilishia kwenye masikio ya Chura Kiziwi.
Mkuu umekula chumvi 84 unatafuna hamburger 🍔 metropole Arusha, Shikamoo😄
 
Ni kama kule msumbiji baada ya uhuru mwandishi moja wa kizungu aliandika Samora Machel ndiye alimuua Eduardo Mondlane eti ili yeye aongoze Frelimo kimapinduzi. Yaani mabeberu wana hila za kila namna kujaribu kuchonganisha..
 
Alikuwa ni Mwandishi wa Gazeti la " AFRICA NOW" (la Afrika ya Kusini) lililokuwa likitoka mara moja kwa wiki. Nakumbuka ilikuwa ni siku ya J3 tar sikumbuki Makachero waliyanunua magazeti yote yaliyokuwa kwenye vibanda vya magazeti. Na amri ilitolewa kwamba ni marufuku mtu yeyote kuwa na Nakala ya toleo lile la gazeti. Mwisho yakapigwa ban kuingia Tz toka kipindi hicho hadi leo.
 
Kwa Nyerere kwamba alihusika na kifo cha Sokoine, ni uongo tena uongo hasa. Nyerere alimpenda saba Edward, hata wakati wa uchahuzi wa 1995 yaani miaka 11 toka afe, Nyerere alionesha bado kumlilia Sokoine. Ni wapuuzi na wasio fikiria vizuri ndio wanaweza kumfikiria Nyerere with the scandal
 
Ndio ukweli huo hata kama hatuwezi uthibitisha ila mazingira ya saisa Yanaweza sapoti hiyo hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…