Prof Kabudi: Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika kuhusu kifo cha Sokoine kwamba Nyerere alihusika au alifaidika na kifo hicho

Ten nliskia Kuna mmoja kati ya hao watu 2 waliwah kushka iyo nafas kabla ya sokoine mmoja wao aliuza meli ya tz million 60 ,hivyo sokoine alamwambia nikja dar utanieleza uliuzaje meli ya umma na pesa ulipeleka wap?
Sokoine alikuwa mwamba...hizi stori sjui kila mtu anamuandikia kitabu ila ukibahatika na wazee waliyofanya naye kazi watakuambia vizuri...
Sokoine alikuwa kanyooka
Hata huyo kabudi sijui kama anamjuwa kiundani
Mfano we picture sokoine ndy waziri mkuu alafu yuko kwenye utawala kama wa sasa,wa mawaziri na viongozi wengine unafikiri hali ingekuwaje...

Ova
 
Siku hiyo nilikuwa natafuna hamburger tukiwa na Mkenya mmoja pale Metropole,Arusha akasisitiza bila ushahidi kuwa haya ni mauji kama ya Tom Mboya huko kwao.
Juhudi zangu zote za kukanusha zilishia kwenye masikio ya Chura Kiziwi.
Duh kumbe Jf tupo na wazee. Mi kuzaliwa mwaka 85 ila humu kumbe kuna watu mwaka 84 walikuwa wanafuatilia hadi mambo ya Sokoine. Mi najitoa jf jamani
 
Huyu Mungu wa mbinguni umekuwa ukimtaja taja sana. Unaonaje sasa ukataja jina lake tumjue maana miungu mingi duniani hudai kukaa mbinguni pia
Mungu ni Mmoja tu

mungu Ndio wako wengi kama yule mheshimiwa mungu wa Professor Naniliu 😄😄🔥
 
Hawajanufaika!
Kwanza walilia sana.
Wacha weeh! Kanyaga twende Msoga kula mananasi Mkwere alisema atalima alipostaafu urais

Baadaye huyo unayesema mstaafu alimlilia, alimwambia Mkwere kuwa yeye ni mstaafu anayewashwawashwa.

Go check your facts.
 
Huyu mhe. kabudi nae alikuwepo na nyerere kipindi hiko au ndio uchawa kama uchawa..
 
Mbona hayo ni kawaida tu.
Kiongozi wa juu akifariki hasa ghaflaghafla anatafutwa tu mtu wa kumsingizia.
Mfano JPM alipofariki wengine walidai JK na Kinana walihusika wakati hata kunufaika hawajanufaika kwa chochote.
Nani kakwambia Jakaya na Kinana hawajanufaika na kifo cha Magu?
Kikwete enzi ya Magu alikuwa anaishi kijijini kwao Msoga, mara baada ya kifo cha Magu akarudi mjini Dar. Full time kuongoza serikali kwa kuwarudisha serikalini chawa wake mafisadi ambao Magu aliwaondoa ; ili waendeleze kuhujumu nchi!
Kinana alishaondolewa na Magufuli lakini baada ya kumuua, Kinana akarudishwa kwa nguvu ya Kikwete kama makamu Mwenyekiti wa ccm!
Huko ndio kufaidika kwao.
 
Hata mimi niliwahi kusikia hivyo!
 
Ni kitu gani ambacho hamjaelewa hapa ni kwamba kabudi
Katupa jiwe kigazi , Sasa ni mwendowa kutajana TU,
Ila list ya PMs ndio imejaa
 
Mkuu, umenena yaliyo kweli juu ya uzalendo wa Mwalimu katika kutoa elimu bure hadi CHUO KIKUU kwa watoto wote wa Tz pamoja na huduma ya Afya bure, ila sasa umeharibu kiasi kwa kutumia lugha ya kuudhi isiyo na staaha. Ahsante
 
Inadaiwa na ulinzi alipunguziwa siku ya hiyo safari,muhusika wa ulinzi wake alikua yule mwamba aliyepigwa risasi huko kilimanjaro akidaiwa kuiba nissan diesel
 
..hata Sokoine alianza kukoromewa na wahafidhina ktk Ccm kwamba ana vimelea vya ubepari.

..ndani ya Ccm kulikuwa na makada wanaoamini ktk ujamaa mkali kuliko Mwalimu Nyerere.
 
Huwa najiuliza uongozi wa Kanisa Katoliki linatumia akili zipi kutaka Nyerere apewe hadhi ya utakatifu. Nikiangalia umbumbumbu wa raia wengi naona kabisa umetokana na sera mbovu za ujamaa?
Bila nyerere wasingekua hapo,wala wasingekua na nyegge za kutoa waraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…