Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Huyu Mungu wa mbinguni umekuwa ukimtaja taja sana. Unaonaje sasa ukataja jina lake tumjue maana miungu mingi duniani hudai kukaa mbinguni piakumwomba Mungu wa Mbinguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mungu wa mbinguni umekuwa ukimtaja taja sana. Unaonaje sasa ukataja jina lake tumjue maana miungu mingi duniani hudai kukaa mbinguni piakumwomba Mungu wa Mbinguni
Sokoine alikuwa mwamba...hizi stori sjui kila mtu anamuandikia kitabu ila ukibahatika na wazee waliyofanya naye kazi watakuambia vizuri...Ten nliskia Kuna mmoja kati ya hao watu 2 waliwah kushka iyo nafas kabla ya sokoine mmoja wao aliuza meli ya tz million 60 ,hivyo sokoine alamwambia nikja dar utanieleza uliuzaje meli ya umma na pesa ulipeleka wap?
Duh kumbe Jf tupo na wazee. Mi kuzaliwa mwaka 85 ila humu kumbe kuna watu mwaka 84 walikuwa wanafuatilia hadi mambo ya Sokoine. Mi najitoa jf jamaniSiku hiyo nilikuwa natafuna hamburger tukiwa na Mkenya mmoja pale Metropole,Arusha akasisitiza bila ushahidi kuwa haya ni mauji kama ya Tom Mboya huko kwao.
Juhudi zangu zote za kukanusha zilishia kwenye masikio ya Chura Kiziwi.
Mungu ni Mmoja tuHuyu Mungu wa mbinguni umekuwa ukimtaja taja sana. Unaonaje sasa ukataja jina lake tumjue maana miungu mingi duniani hudai kukaa mbinguni pia
Wacha weeh! Kanyaga twende Msoga kula mananasi Mkwere alisema atalima alipostaafu uraisHawajanufaika!
Kwanza walilia sana.
Huyu mhe. kabudi nae alikuwepo na nyerere kipindi hiko au ndio uchawa kama uchawa..Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi amesema baada ya Kifo Cha Sokoine Maneno mengi yalisemwa ikiwemo " aliuawa kwa njama"
Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika Kifo Cha Sokoine Mwalimu Nyerere Alihusika au Alifaidika na Kifo hicho
Mwandishi huyo alisema Nyerere alihofia Sokoine akiwa Rais atapendelea mfumo wa Sekta Binafsi
Prof Kabudi anasema Mwalimu Nyerere alisikitika sana baada ya kusoma Makala hayo na kumwomba Mungu wa Mbinguni amsamehe Mwandishi yule
Source: Mwanahalisi Digital
Alikuwa mwanafunzi, kwa hiyo alikuwa hamjui Nyerere wala Sokoine, alimskia kama mimi. Mimi nilienda hadi Karimjee kuaga mwili wakeHuyu mhe. kabudi nae alikuwepo na nyerere kipindi hiko au ndio uchawa kama uchawa..
Nani kakwambia Jakaya na Kinana hawajanufaika na kifo cha Magu?Mbona hayo ni kawaida tu.
Kiongozi wa juu akifariki hasa ghaflaghafla anatafutwa tu mtu wa kumsingizia.
Mfano JPM alipofariki wengine walidai JK na Kinana walihusika wakati hata kunufaika hawajanufaika kwa chochote.
Kawawa +Mwingira + RajparKwani aliposema akitoka Bungeni Dodoma Kawawa aeleze meli ya serikali kaipeleka wapi ilikuwaje?
Kawawa +Mwingira + Rajpar
Kijiweni kwetu wanasema.
Ile operesheni ya uhujumu uchumi aliyokuwa akiisimamia Sokoine baada ya kumaliza kwa wananchi ilikua inakwenda kuanza kuwagusa viongozi,
Kuna viongozi wawili wakubwa na maarufu ambao nao walishika nafasi ya Sokoine stori zinasema ili kukwepa aibu wakafanya yao.
Ila ipo siku mambo yatakuwa hadharani.
Kwa nini sasa Mwingira alifukuzwa kazi na Rajpar kushikwa? Kawawa aliachwa kwa sababu jina kubwaHuwezi kuuza meli ya serikali bila mwalimu kujua.
Mwalimu na Kawawa lazima walikuwa wanajua ishu hiyo ya meli
Kwa nini sasa Mwingira alifukuzwa kazi na Rajpar kushikwa? Kawawa aliachwa kwa sababu jina kubwa
Mkuu, umenena yaliyo kweli juu ya uzalendo wa Mwalimu katika kutoa elimu bure hadi CHUO KIKUU kwa watoto wote wa Tz pamoja na huduma ya Afya bure, ila sasa umeharibu kiasi kwa kutumia lugha ya kuudhi isiyo na staaha. AhsanteUsimsingizie Nyerere kwa umbumbumbu wako.
Nyerere ndiye alikuambia ushinde tangu asubuhi unajadili Simba na yanga? Nyerere ndiye aliyekufanya ubaki unajadili maisha ya wasanii wanafanya mapenzi na nani?
Failure zako walaumu wazazi wako.
Nyerere alitoa elimu bure hadi chuo kikuu ili utoe ujinga, Nyerere alimlazimisha babako akupeke shule kwa kumtishia kumfunga jela ikiwa hakupeleki shule.
Nyerere ameondoka madarakani miaka arobaini iliyopita halafu umekallsha makalio unamlaumu!
Inadaiwa na ulinzi alipunguziwa siku ya hiyo safari,muhusika wa ulinzi wake alikua yule mwamba aliyepigwa risasi huko kilimanjaro akidaiwa kuiba nissan diesel100% CCM walimuua Sokoine.
Dumisani Dube alikuwa anaenda wapi na yeye alikuwa anaisha Dar kama mkimbizi?
Tangu lini Waziri Mkuu agongwe na Gari na body guards na ulinzi ulivyo?
Kawawa kwa nini aliiwahi ndege ya Sokoine akaenda nayo Liwale? Nia yake ilikuwa akamilishe njama zake yeye na M—ya.
Kesi ilipoanza:
Siku ya kwanza Dumisani Dube alikataa kuwa yeye hakumuua yaani not guilty
Kesi ikaailishwa
Baada ya Kesi kuanza mara ya pili Dumisani Dube alikubali makosa yote na kuhukumiwa jela miaka mitano.
Badala ya kutumikia kifungo unamwona London anaishi maisha mazuri!!!!!
Jifikirishe, hiyo ndiyo CCM.
Muulizeni Cleopa Msuya kabla ya ..,fa, huyu ndiyo kabakia katika master planners
Bila nyerere wasingekua hapo,wala wasingekua na nyegge za kutoa warakaHuwa najiuliza uongozi wa Kanisa Katoliki linatumia akili zipi kutaka Nyerere apewe hadhi ya utakatifu. Nikiangalia umbumbumbu wa raia wengi naona kabisa umetokana na sera mbovu za ujamaa?