Prof Kabudi: Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika kuhusu kifo cha Sokoine kwamba Nyerere alihusika au alifaidika na kifo hicho

Waliposhikwa nini kilitokea eventually?.

Kama Mwalimu alikuwa mpinga ufisadi wa kwelikweli kwa nini alimuachia Kawawa?

Isije ikawa kukamatwa kwa Rajpar na Mwingira ni bangusilo tu
RAshidi alikuwa nguzo kubwa ya Mwalimu hangeweza kumshika. Hata Mwingira alipewa kazi nyingine. Ukweli ni kuwa likuwa uikiukwaji wa sera. Nyerere alipendelea ujamaa na Rajpar alitoa rushwa kununua meli siyo ni kweli iliuzwa na pesa yote kuibiwa. Ukiukwaji wa sera.
 
..hata Sokoine alianza kukoromewa na wahafidhina ktk Ccm kwamba ana vimelea vya ubepari.

..ndani ya Ccm kulikuwa na makada wanaoamini ktk ujamaa mkali kuliko Mwalimu Nyerere.

Halafu alipojiuzulu tu wakaanza kuvaa suti pande sita wakati enzi za mwalimu walikuwa wanajifanya kuvaa suti ya Mao
 
Halafu alipojiuzulu tu wakaanza kuvaa suti pande sita wakati enzi za mwalimu walikuwa wanajifanya kuvaa suti ya Mao

..hata Sokoine alikuwa anakwenda hukohuko.

..alikuwa mbioni kukubaliana na sera za kibepari ambazo Mzee Mwinyi alikuja kutozitekeleza.

..pia aligundua na kusikitishwa na makosa makubwa na uonevu wakati wa zoezi la kukamata wahudumu uchumi.

..lawama za operesheni dhidi ya uhujumu uchumi ziliangukia kwa Sokoine. Yeye alikuwa anajutia kilichotokea, lakini wananchi walikuwa wakimpenda kutokana na operesheni ile.
 
..hata Sokoine alianza kukoromewa na wahafidhina ktk Ccm kwamba ana vimelea vya ubepari.

..ndani ya Ccm kulikuwa na makada wanaoamini ktk ujamaa mkali kuliko Mwalimu Nyerere.
Na amewahi kuumizwa mguu akaenda kutibiwa Cuba. Akaponea Denmark. Wewe fikiria TISS ya Nyerere ilivyokuwa na siri. Waziri mkuu hayupo ofisini miezi lakini wananchi wako vizuri tu hawahoji
 
Na amewahi kuumizwa mguu akaenda kutibiwa Cuba. Akaponea Denmark. Wewe fikiria TISS ya Nyerere ilivyokuwa na siri. Waziri mkuu hayupo ofisini miezi lakini wananchi wako vizuri tu hawahoji

..miaka hiyo teknolojia ya mawasiliano ilikuwa nyuma sana.

..Mazingira hayo ndiyo yaliyowezesha usiri na propaganda kuwa na makali.
 
Utapeli wake nini upo hapo.Kwani Sokoine hakufa,na kwani Nyerere hakusema anasikitishwa na kifo cha Sokoine?

..Kabudi ameeleza yaliyoandikwa kwenye kitabu.

..Nimeshangaa kwanini watu wanamlaumu.

..Nadhani tatizo ni kuchelewa kwa kitabu cha Maisha ya Sokoine, kwa hiyo hapo katikati watu walikuwa wanaishi wakiwa na taarifa zisizo za kweli.
 
Na amewahi kuumizwa mguu akaenda kutibiwa Cuba. Akaponea Denmark. Wewe fikiria TISS ya Nyerere ilivyokuwa na siri. Waziri mkuu hayupo ofisini miezi lakini wananchi wako vizuri tu hawahoji
Wangehoji vipi wakati redio na magazeti ni ya chama na serikali!?..kwanza wananchi hawakua na time na siasa plus hapakua na mawasiliano ya mara kwa mara Kati ya viongozi na raia
 
Aiseee,wewe Ni kiboko,darasa la pili umeshakuwa na uwezo wa kuhoji,big up boss
 
Huu ni uzushi. Sokoine angeuawa basi Nyerere asingecha mambo yaishie juu juu. Ile ilikuwa ni ajali tu ila watu siku zote huependa kuamini uvumi kuliko ukweli.
 
Na amewahi kuumizwa mguu akaenda kutibiwa Cuba. Akaponea Denmark. Wewe fikiria TISS ya Nyerere ilivyokuwa na siri. Waziri mkuu hayupo ofisini miezi lakini wananchi wako vizuri tu hawahoji
Wakati ule mambo yalikuwa tofauti. Binadamu husahau mapema (hasa mtanzania) lakini kipindi cha Nyerere hakukuwa na platform ya kujua kinachoendelea na hata kutoa siri.
 
Nikiwa darasa la sita nako nikakumbana na kadhia ya kufukuzwa shule kwa sababu nilikataa kujiandikisha kupiga kura
🀯

πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa hiyo Watanzania walikuwa wakilazimishwa kupiga kura wakiwa Darasa la Sita?

AiseeπŸ™ŒπŸΎ
 
JamiiCheck hebu angalieni hili.
 
Na amewahi kuumizwa mguu akaenda kutibiwa Cuba. Akaponea Denmark. Wewe fikiria TISS ya Nyerere ilivyokuwa na siri. Waziri mkuu hayupo ofisini miezi lakini wananchi wako vizuri tu hawahoji
Mkuu, ni kweli pamoja na TISS ya Mwalimu kuwa bora katika utendaji wake, lakini uwepo wa Serikali mbili za kiutawala, kwa maana ya Serikali Kuu na Serikali za Tawala za Mitaa, zilikuwa zinafanya kazi zake kwa kufuata Kanuni, Sheria na Taratibu za Kiutawala kwa mujibu ya Katiba; bila kuingilina; hivyo Wananchi kwa asilimia kubwa huduma zao zilikuwa chini ya Serikali ya Mitaa (Local Government) hivyo ilikuwa vigumu kwao kujua mienendo ya Waziri Mkuu na hasa ukizingatia hapakuwa na vyombo vingi vya mawasiliano na hasa vya teknolojia ya kisasa kama leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…