www19
Senior Member
- Apr 29, 2020
- 140
- 205
Wacha wee Ila kumbuka bila sisi huli ugali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha wee Ila kumbuka bila sisi huli ugali
Tumeifanyia party leoile bia iliyofatwa Madagscar imeishia vipi muheshimiwa?
Tumeifanyia party leo
May 24, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Prof. Palamagamba Kabudi amesema ametumwa na Mh. Rais John Magufuli kuwashukuru waTanzania wote kwa maombi yao kipindi hiki cha janga la corona.
Prof. Palamagamba Kabudi akisoma ujumbe wa Rais unaosema alipoamua kutofunga nyumba za ibada wala kuifunga nchi kwa lockdown ni kuwa hakuyasema yeye kama binadamu (Mh.Rais) aliyeumbwa kwa nyama na damu bali alipata ujasiri na imani hiyo toka kwa Mungu. Kwani Mungu alimleta afanye kazi hiyo kama Musa alivyofanya kazi ya kuwavusha wana wa Israeli wavuke salama bahari ya Shamu kuwaepuka askari wa Farao.
Haikuwa uamuzi mdogo kwani kwa mujibu wa wataalamu idadi ya waTanzania zaidi ya 100,000 walitabiriwa lazima wafe kwa gonjwa la corona. Hivyo kutofunga Dar es Salaam wala Makanisa, Misikiti, Mahekalu na Masinagogi uamuzi huo ulikuwa mzito lakini Mungu ashukuriwe idadi ya vifo kutokana na corona ipo ndogo kabisa na vile ilivyotabiriwa kwa kweli ipo mbali sana na 100,000.
Mh. Rais anawaomba na kuwashukuru wa Tanzania walioomba Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na waendelee kufanya hivyo kwa Mungu na kuliombea Taifa , anahitimisha Prof. Kabudi akiwakilisha Salaam za Mh. Rais kwa waTanzania.
Li nchi la propagandaPengine unachukulia hili jambo kwa udogo/ukubwa hoja hapa ni Je, JPM alichukua hatua sahihi? Jibu ni ndiyo kwa sababu hatukuathirika ki-vile wengi walivyotegemea. Sasa hapo unaongelea sayansi ipi? Sayansi ipo kwenye dawa siyo jinsi unavyokabiliana na janga. Je Wazungu wamepata dawa? Hapana, sisi Tanzania tayari dawa ipo sasa unataka nini? Kuhusu maambukizi: Je, wapi kulikuwa na maambukizi mengi Tanzania au Ulaya?
Ushapaniki matanga?Labda ungejua maana ya msukule kwanza kabla ya kuropoka. Umekosa wa kukupumulia kisogoni?
Ni jitihada zipi alizofanya za ziada kuliko jitihada walizofanya wazungu hadi pakawepo tofauti kubwa ya matokeo ya vifo, unazijua?Aibu Watanzania wengi akili zao bado zimeshikiliwa na wazungu. Sasa waliokufa ni wazungu wengi hasa USA, UK, Spain nk. Sasa leo hii wanabeza juhudi za taifa la Tanzania chini ya uongozi wa JPM.
"---alichukua hatua sahihi" kwa misingi ipi?Pengine unachukulia hili jambo kwa udogo/ukubwa hoja hapa ni Je, JPM alichukua hatua sahihi? Jibu ni ndiyo kwa sababu hatukuathirika ki-vile wengi walivyotegemea.
There was no lockdown in Tanzania.Ni jitihada zipi alizofanya za ziada kuliko jitihada walizofanya wazungu hadi pakawepo tofauti kubwa ya matokeo ya vifo, unazijua?
"---alichukua hatua sahihi" kwa misingi ipi?
As above.Yeye alishafanya utafiti akaona njia mbadala ambazo dunia nzima walikuwa hawazijui?
Tueleze wewe unayejua kwa nini "hatukuathirika".
Hizo 'projections' za 100,000, ni makisio yanayofanywa kutokana na maambukizi yalivyokuwa yanategemewa, ni makisio na sio namba sahihi, na kila nchi ilikuwa na 'projections' za aina hiyo.
Sasa mnawaeleza wananchi kana kwamba hivyo ndivyo ilipaswa kuwa - kama kawaida ya kupindisha habari ili zikidhi upotoshaji unaofanyika.
Kiongozi mzima, kuna sababu zipi za kujihusisha na mambo haya ya kupotosha kila habari, hata mambo yanayohusu taarifa za kisayansi?
Li nchi la propaganda
Hata hujui unachojibu, utaweza vipi kutoa jibu linaloeleweka?There was no lockdown in Tanzania.
As above.
That's a lie, a grownup man like you decide to lie in day broad light.
Which wananchi? People can see themselves what is happening.
What has been mislead? Just continue with your propaganda but those in the knowing understands what's going on.
Have you jumped a reptile?Hata hujui unachojibu, utaweza vipi kutoa jibu linaloeleweka?
Hopeless!
There needs to be a better way of filtering out garbage from appearing on JF!
They need to deploy 'artificial intelligence' gadgets for this, to save us from wasting time.
Ni jitihada zipi alizofanya za ziada kuliko jitihada walizofanya wazungu hadi pakawepo tofauti kubwa ya matokeo ya vifo, unazijua?
"---alichukua hatua sahihi" kwa misingi ipi?
Yeye alishafanya utafiti akaona njia mbadala ambazo dunia nzima walikuwa hawazijui?
Tueleze wewe unayejua kwa nini "hatukuathirika".
Hizo 'projections' za 100,000, ni makisio yanayofanywa kutokana na maambukizi yalivyokuwa yanategemewa, ni makisio na sio namba sahihi, na kila nchi ilikuwa na 'projections' za aina hiyo.
Sasa mnawaeleza wananchi kana kwamba hivyo ndivyo ilipaswa kuwa - kama kawaida ya kupindisha habari ili zikidhi upotoshaji unaofanyika.
Kiongozi mzima, kuna sababu zipi za kujihusisha na mambo haya ya kupotosha kila habari, hata mambo yanayohusu taarifa za kisayansi?
Ulaya tunajua, kwetu hatuna data. Hata hivyo idadi ya watu ulaya ni kubwa mara nyingi kuliko kwetu na watu wanasafiri sana kuliko kwetu, hivyo maambukizi kwao yanasambaa kwa kasi kuliko kwetu.Pengine unachukulia hili jambo kwa udogo/ukubwa hoja hapa ni Je, JPM alichukua hatua sahihi? Jibu ni ndiyo kwa sababu hatukuathirika ki-vile wengi walivyotegemea. Sasa hapo unaongelea sayansi ipi? Sayansi ipo kwenye dawa siyo jinsi unavyokabiliana na janga. Je Wazungu wamepata dawa? Hapana, sisi Tanzania tayari dawa ipo sasa unataka nini? Kuhusu maambukizi: Je, wapi kulikuwa na maambukizi mengi Tanzania au Ulaya?
May 24, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Prof. Palamagamba Kabudi amesema ametumwa na Mh. Rais John Magufuli kuwashukuru waTanzania wote kwa maombi yao kipindi hiki cha janga la corona.
Prof. Palamagamba Kabudi akisoma ujumbe wa Rais unaosema alipoamua kutofunga nyumba za ibada wala kuifunga nchi kwa lockdown ni kuwa hakuyasema yeye kama binadamu (Mh.Rais) aliyeumbwa kwa nyama na damu bali alipata ujasiri na imani hiyo toka kwa Mungu. Kwani Mungu alimleta afanye kazi hiyo kama Musa alivyofanya kazi ya kuwavusha wana wa Israeli wavuke salama bahari ya Shamu kuwaepuka askari wa Farao.
Haikuwa uamuzi mdogo kwani kwa mujibu wa wataalamu idadi ya waTanzania zaidi ya 100,000 walitabiriwa lazima wafe kwa gonjwa la corona. Hivyo kutofunga Dar es Salaam wala Makanisa, Misikiti, Mahekalu na Masinagogi uamuzi huo ulikuwa mzito lakini Mungu ashukuriwe idadi ya vifo kutokana na corona ipo ndogo kabisa na vile ilivyotabiriwa kwa kweli ipo mbali sana na 100,000.
Mh. Rais anawaomba na kuwashukuru wa Tanzania walioomba Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na waendelee kufanya hivyo kwa Mungu na kuliombea Taifa , anahitimisha Prof. Kabudi akiwakilisha Salaam za Mh. Rais kwa waTanzania.
Wakati ule nilipoanza kukusoma kwenye mjadala wa Waziri Mkuu Sokoine, nilidhani una hekima kichwani hata kama hatukukubaliana kwa yale tuliyojadili.Have you jumped a reptile?
Good for you to know!You are a useless bugger.